Featured Kitaifa

MAJALIWA AHANI MSIBA WA NAIBU WAZIRI UMMY NDERIANANGA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Kondo Ramadhani Tembele ambaye  ni baba mkwe wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, Mbezi Goba mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, kufuatia msiba wa baba Mkwe wake Kondo Ramadhani Tembele, Mbezi mkoani Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Tatu Mfaume Kawangwa ambaye ni mke wa marehemu Kondo Ramadhani Tembele alipohani msiba huo Mbezi Goba mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. katikati ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipohani msiba wa Marehemu Kondo Ramadhani Tembele ambaye ni baba mkwe wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga Mbezi Goba mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

About the author

mzalendoeditor