Waz
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji Anna Bethuweli Mushi (kulia) ambaye ni Mama wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile alipohani msiba huo nyumbani kwa Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile, Bunju mkoani Dar es salaam, Aprili 08,2023. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu Mary Majaliwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile alipohani msiba wa Marehemu Faithnancy Aloyce Mwanjile ambaye ni mtoto wa Brig. Jen Mstaafu Mwanjile, Bunju mkoani Dar es salaam,
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)