Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa kuu katika Parokia ya Mtakatifu  Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma

About the author

mzalendoeditor