Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Mhe.Peter Huyghebaert alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Mhe Peter Huyghebaert, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Mhe. Peter Huyghebaert, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Mhe. Peter Huyghebaert, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)   

About the author

mzalendoeditor