marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

herabet

herabet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

EWURA YAKUSANYA MAONI YA WANANCHI JUU YA BEI PENDEKEZWA ZA MAJI DODOMA

Written by Alex Sonna

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Bw. George Kabelwa,wakati akizungumza wakati wa kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kilichoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Aprili 6,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule.akizungumza wakati akifungua kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kilichoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Aprili 6,2023 jijini Dodoma.

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri,akizungumza wakati wa kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kilichoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Aprili 6,2023 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa  kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kilichoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Aprili 6,2023 jijini Dodoma.

 Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi Aron Joseph,akitoa elimu kwa Wananchi wakati wa kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kilichoandaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Aprili 6,2023 jijini Dodoma.

Na.Bolgas Odilo-DODOMA 

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema imekuwa ikizingatia  masuala mbalimbali katika kutathmini maombi ya marekebisho ya bei za huduma husika ikiwa ni pamoja na gharama halisi ya uzalishaji, usambazaji na ufikishaji wa huduma husika kwa wateja.

Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 6,2023 na Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Bw. George Kabelwa,wakati akizungumza  kwenye taftishi kuhusu maombi ya kurekebisha bei za huduma za maji za Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma.

 Bw. Kabelwa, ameyataja mambo mengine wanayozingatia ni pamoja na urejeshaji wa gharama za uwekezaji katika miundombinu na uzalishaji wa maji kwa kufanya uwekezaji mdogo wa miundombinu,mlinganisho wa gharama za uendeshaji na Mamlaka nyingine za maji hapa nchini,kulinda maslahi ya wateja pamoja na uendelevu wa huduma ya maji.

Aidha Bw. Kabelwa, amesema utaratibu wa kupitisha maombi ya kurekebisha bei za huduma una hatua kuu saba ambazo ni,kupokea maombi, Kupitia maombi na kuomba ufafanuzi pale inapohitajika, Mkutano wa hadhara (taftishi) ndani ya eneo ambalo mamlaka imeomba.

 “Kupokea maoni ya maandishi,Kufanya uchambuzi wa kina na kuwasilisha mapendekezo kwenye Bodi ya EWURA,maamuzi ya bodi na  hatua ya mwisho ni kutangaza maamuzi ya Bodi  kwenye Gazeti la Serikali,”amesema Bw. Kabelwa,

Amesema  katika Agizo hilo, EWURA itaainisha bayana misingi na hoja zilizopelekea maamuzi yake na masharti ambayo Mamlaka ya Maji Dodoma itatakiwa kuyazingatia katika utekelezaji wa agizo la bei.

Bw. Kabelwa, amesema sehemu kubwa ya masharti hayo yanalenga kuboresha huduma ya maji kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kufikisha huduma ya maji katika maeneo ambayo kwa sasa hayana huduma hiyo.

Amesema kwa mujibu wa EWURA mtu yeyote asiyeridhika na uamuzi wa EWURA anayo haki ya kukata rufaa kwenye Baraza la Ushindani wa Haki Katika Biashara yaani (Fair Competition Tribunal), kwa kifupi FCT.

Bw. Kabelwa,amesema tangu kuanzishwa, EWURA imefanya mapitio na tathmini ya maombi ya kubadilisha bei za huduma za maji kwa Mamlaka za Maji za majiji na miji yote mikuu ya mikoa ambapo katika baadhi ya sehemu, mabadiliko hayo yamefanyika zaidi ya mara moja.

Aidha, EWURA imefanya mapitio na tathmini ya maombi ya kubadilisha bei katika baadhi ya miji ya Wilaya na Miji midogo. Ukiacha sekta ya maji, EWURA imefanya mapitio na tathmini ya maombi ya kubadilisha bei katika sekta ya gesi na nishati ya umeme na kufanya mabadiliko katika bei za huduma hizo.

“Katika maeneo yote hayo, na sekta nilizozitaja hapo juu, EWURA imekuwa na mfumo shirikishi wa kushirikisha wadau wote wakiwemo watumiaji wa huduma kama inavyofanyika leo kabla ya kupitisha maombi husika,”amesema Bw. Kabelwa,

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Rosemary Senyamule amesema Serikali inatarajia utendaji mahiri, wenye kuzingatia uwazi wa EWURA ambao utakuwa chachu ya kuboresha utoaji wa huduma za majisafi katika mji wetu.

“Uwekezaji katika sekta hii utaongeza upatikanaji na ubora wa huduma hii na hivyo kuleta ufanisi endelevu na wenye kuzingatia uboreshaji wa mazingira kwa faida yetu na ya vizazi vijavyo,”amesema 

Bi.Senyamule amewataka watoe maoni  bila upendeleo wowote wakiwa  na dhamira ya kuhakikisha kuwa kuna mizania kati ya watumiaji huduma za majisafi na usafi wa mazingira, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma na Taifa linafikia malengo yake

About the author

Alex Sonna