Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

NBC,BRITAM WAENDESHA MAFUNZO KUWANOA MAWAKALA UTOAJI HUDUMA ZA BIMA

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi wa Wateja binafsi wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (kushoto) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki hiyo wa mkoa wa Mwanza yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa (ACISP)  yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  Bima ya Britam Tanzania Bw Raymond Komanga (kulia) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki  ya NBC wa mkoa wa Mwanza yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa (ACISP) yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mkurugenzi wa Usimamizi Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bw Abubakar Ndwata (aliesimama kushoto) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki  ya NBC wa mkoa wa Arusha yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa ( ACISP) jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mtaalamu wa masuala ya Bima kutoka Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii cha Africa (ACISP) Godfrey Mzee (kushoto) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki  ya NBC wa mkoa wa Mwanza yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa (ACISP) yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mkuu wa Kitengo cha Bima wa NBC, Benjamin Nkaka  (kulia) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki hiyo wa mkoa wa Arusha yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Ofisa Uendeshaji Mkuu wa Kampuni ya  Bima ya Britam Tanzania Bw Gilliard Mardai (aliesimama katikati) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki  ya NBC wa mkoa wa Arusha yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mwenyekiti Mtendaji Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii cha Africa (ACISP) Bw Sosthenes Kewe (wa pili kulia) akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki  ya NBC wa mkoa wa Arusha yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo hicho  yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.


Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ambao ni mawakala wa Benki ya NBC mikoa ya Mwanza na Arusha wakifuatilia mafunzo hayo yaliyozinduliwa jana mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mkurugenzi wa Wateja binafsi wa Benki ya NBC, Bw Elibariki Masuke (katikati walioketi) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya  Bima ya Britam Tanzania Bw Leonard Komanga (Kulia) na Mtaalamu wa masuala ya Bima kutoka Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Bw Godfrey Mzee (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki hiyo wa mkoa wa Mwanza yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii cha Africa yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Mkurugenzi wa Usimamizi Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA) Bw Abubakar Ndwata (katikati walioketi) akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa waandamizi kutoka Benki ya NBC, Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania, cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii cha Africa pamoja na washiriki wa mafunzo maalum kwa mawakala wa benki hiyo wa mkoa wa Arusha yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala  hao ili waweze kutoa huduma za Bima. Mafunzo hayo yanayoendeshwa kwa ushirikiano baina ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Africa yalizinduliwa jana katika mikoa ya Mwanza na Arusha.

Na.Mwandishi Wetu-Mwanza na Arusha

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania wamezindua mafunzo maalum kwa mawakala wa benki hiyo mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kaskazini yanayolenga kuwajengea uwezo mawakala hao ili waweze kutoa huduma za Bima.

Mafunzo hayo ya wiki moja yanaendelea katika mikoa ya Mwanza na Arusha yakiendeshwa kupitia Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika (ACISP)

Wakizungumzia hatua hiyo Mkurugenzi wa Wateja binafsi wa Benki ya NBC, Bw Elibariki Masuke pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Britam Tanzania Bw Raymond Komanga walisema mafunzo hayo yanalenga kupanua wigo wa utoaji wa huduma za bima nchini kutokana na ukubwa wa mtandao wa makala wa benki hiyo kote nchini.

“Kupitia mafunzo haya tunakwenda kuongeza wigo wa watoa huduma za Bima nchini hasa kwa kuzingatia kwamba NBC tayari tuna mtandao wa mawakala 10,000 kote nchini ambao kupitia mafunzo haya watajengewa uwezo na kupatiwa vigezo vitakavyo wawezesha kutoa huduma za Bima pia.’’

“Ni fursa kwa mawakala wetu kuongeza kipato kwa kuwa sasa hawatafanya tu miamala ya kibenki bali pia wataanza kufanya miamala ya kibima na na hivyo kujiongezea kipato kupitia ‘kamisheni’,’’ alisema Bw Masuke.

Kwa mujibu wa Bw Masuke hatua hiyo ni muendelezo wa mkakati wa benki hiyo katika kusogeza zaidi huduma zake karibu na wananchi ikiwa ni muitikio wa wito wa serikali unaohamasisha taasisi za fedha nchini kusogeza zaidi huduma zao ili ziweze kuwafikia wananchi wengi zaidi.

“Kama ambavyo tumeweza kusogeza huduma zetu za kibenki kupitia mawakala hawa lengo letu pia ni kuona huduma za kibima tunazozitoa kwa kushirikiana na kampuni mbalimbali za Bima ikiwemo Britam Tanzania zinaweza kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi pia,’’ aliongeza.

Kwa upande wake Komanga alisema mafunzo hayo yanayodhaminiwa na kampuni hiyo yamekuja kufuatia muitikio mzuri wa soko la huduma za Bima hapa nchini licha ya uhaba wa mawakala na madalali wa bima nchini.

“Licha uhaba huo, mwaka jana soko la Bima liliweza kukusanya ada za Bima (Premiums) kiasi cha Sh Trilioni 1.1 kupitia mawakala na madalali wa Bima waliopo sasa. Kufuatia mafanikio haya tukaona ni wakati muafaka sasa kupanua wigo zaidi wa kuwafikia wateja wetu nchi nzima kupitia mawakala wa wenzetu Benki ya NBC waliopo nchi nzima. Kupitia mafunzo haya tunatarajia matokeo mazuri zaidi kwa kuwa idadi ya mawakala wa bima inaenda kuwa kubwa zaidi,’’ alisema.

Kwa mujibu wa Bw Komanga mafunzo hayo ya wiki moja kwa Kanda ya Ziwa yatahusisha mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Mara na Kagera huku katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini yakihusisha mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Akizungumzia mafunzo hayo Mwenyekiti Mtendaji Chuo cha Usimamizi wa Bima na Hifadhi ya Jamii cha Africa Bw Sosthenes Kewe alisema yanalenga kuwawezesha mawakala hao waweze kupata vigezo vya awali vitakavyowawezesha kutoa huduma za Bima kulingana na vigezo vilivyowekwa na Mamlaka ya Bima Tanzania (TIRA).

“Tunatarajia kwamba baada ya mafunzo haya washiriki wote watapata nafasi ya kufanya mitihani ya kuhitimu na vyeti vitatolewa kwa wale tu watakaofaulu mitihani hiyo,’’ alinainisha

About the author

Alex Sonna