Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO SITA KWA TAMISEMI, TOA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo  kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Viongozi na Wanachama wa Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha tuzo  aliyopokea  kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilitolewa  na  Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) kwa kutambua utendaji kazi wake bora, alipomuwakilisha Rais katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. 9Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita kwa viongozi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI na Umoja wa Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri unaohusika na maboresho ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (TOA) yatakayosaidia kuboresha utoaji huduma kwa wananchi.

Ametoa maagizo hayo leo mchana (Jumanne, Aprili 4, 2023) wakati akifungua Mkutano wa 13 wa TOA (Tanzania Local Government Reforms Association) ulioanza leo kwenye ukumbi wa Jiji, Mtumba, jijini Dodoma.

Akizungumza na washiriki wa mkutano huo wa siku tatu kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu amewataka viongozi na watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wahakikishe kunakuwa na ushirikishwaji wa karibu wa wananchi katika kuainisha changamoto zinazowakabili na kuwawezesha kupanga na kutekeleza afua za kukabiliana na changamoto hizo kwa kutumia rasilimali zinazowazunguka.

“Kwa kufanya hivyo, tutaweza kutekeleza kwa tija, dhana ya ugatuzi wa madaraka sambamba na kuhakikisha maendeleo yanayopatikana kwa wananchi yanakuwa dhahiri na endelevu,” amesema.

Pia ameitaka Ofisi ya Rais (TAMISEMI) ihakikishe Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka inakamilika mara moja ili iwezeshe taasisi zote nchini kupata mwongozo wa namna ya kutekeleza dhana hii muhimu kwa utoaji wa huduma na maendeleo ya wananchi.

“Vilevile, Ofisi ya Rais – TAMISEMI iendelee kufanya kazi kwa pamoja na Wizara ya Fedha na Mipango kushughulikia suala la Ruzuku ya Serikali za Mitaa (LGDG) sambamba na utatuzi wa changamoto mbalimbali za utekelezaji wa miradi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mikoa,” amesema.

Ili kuwajengea uwezo wanachama wake, Waziri Mkuu ameitaka TOA iendelee kuweka mikakati ya kuimarisha utawala bora na utawala wa sheria ikiwa ni pamoja na mifumo ya utatuzi wa migogoro sambamba na ushirikishaji wananchi katika maamuzi na mipango ya maendeleo.

“TOA iwajibike kuhimiza wanachama kuhakikisha Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatoa taarifa za utekelezaji wa mipango na bajeti ikiwemo taarifa za mapato na matumizi ili kujenga imani ya wananchi kwa Serikali yao.”

Pia ameitaka TOA iweke kipaumbele kwa wanachama wake katika kuandaa mikakati ya usimamizi wa miradi ya maendeleo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kazi zinazofanywa ziwe na ubora na zilingane na fedha inayotumika.

“Kwa nafasi zenu, wekeni mikakati ya ukusanyaji na udhibiti wa mapato ya ndani ili kuboresha utoaji wa huduma kwa jamii.  Hii iwe sambamba na kubuni vyanzo vipya vya mapato, kufanya mapitio ya viwango vya ushuru na kuwa na takwimu sahihi za walipa kodi,” amesisitiza.

Waziri Mkuu Majaliwa amesema anatambua wapo watumishi wengi walionufaika na mpango wa mafunzo ambayo yamekuwa yakitolewa Osaka, Japan kuanzia mwaka 2002. Amesema anaamini waliopata bahati ya kuhudhuria mafunzo hayo, wameona na kujifunza kuwa Wajapan wanayo mifumo thabiti ya kuwashirikisha wananchi na kujenga uwezo kwa mamlaka zao za Serikali za Mitaa ili ziwahudumie ipasavyo.

“Nitumie fursa hii kuishukuru Serikali ya Japan kwa kuendelea kutuunga mkono. Itakumbukwa kuwa, wenzetu hawa walifanya hivyo licha ya kuwa nao walikuwa wakikabiliana na changamoto mbalimbali hasa umaskini kama ilivyo kwa Taifa letu.”

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki hao, Waziri wa Nchi (OR-TAMISEMI), Angellah Kairuki aliwataka Ma-RAS na Ma-DED watumie vema Mfumo wa Fursa na Vikwazo ulioboreshwa (yaani improved O&OD) ili kuongeza uwazi zaidi na uwajibikaji na hasa katika maeneo ya vitogoji, vijiji na mitaa.

Alisema kupitia mafunzo yaliyofadhiliwa na JICA, watumishi 6,367 walipata mafunzo ya namna bora ya ugatuaji wa madaraka kuanzia ngazi ya msingi na kwamba kupitia fursa hiyo, wataendelea kuboresha Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TOA, Bw. Albert Msovela ambaye pia ni RAS wa Kigoma alisema kupitia TOA wameweza kuongeza uwazi na uwajibikaji katika ngazi ya msingi, utekelezaji wa LRGP I & II na matumizi ya Mfumo wa Fursa na Vikwazo ulioboreshwa (yaani improved O&OD).

Pia aliiomba Serikali irejeshe ruzuku ya LDGC ili iweze kuzisaidia Mamlaka za Serikali za Mitaa kama ilivyokuwa awali.

About the author

Alex Sonna