Featured • Kitaifa

MATUKIO KATIKA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akislimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, bungeni jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiingia  bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Hai, Saashisha Mafue, bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna