marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

bets10

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

imajbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

pusulabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

sonbahis

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

bahiscasino

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

bets10 giriş

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

ngsbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

bets10

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

gonebet, gonebet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

onwin

romabet

madritbet

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

casinoroyal

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

marsbahis

matbet

jojobet

betist

betist

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AKABIDHI PIKIPIKI 100 KWA VIJANA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa  akimkabidhi abulrahman Chande Mnokota moja kati ya pikipiki 100  zenye thamani ya shilingi milioni 250 alizozitoa kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa kwa ajili ya kufanya biashara ya usafirishaji. Kulia ni Mdhamini Mkuu wa Pikipiki hizo Bw. Mpaluka Hashim Mtopelana katikati ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wadogo soko la Kariakoo Dar es Salaam Bw. Martin Mbwana (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa  akizungumza na baadhi ya vijana wa wilaya ya Ruangwa baada ya kukabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya shilingi milioni 250 kwa ajili ya kufanya biashara ya usafirishaji,  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Sehemu ya  pikipiki 100  zenye thamani ya shilingi milioni 250 zilizotolewa na Waziri Mkuu na mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wafanye biashara ya usafirishaji,  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekabidhi pikipiki 100 zenye thamani ya sh. milioni 260 kwa vijana wa wilaya ya Ruangwa ili wazitumie kufanya biashara ya usafirishaji.

Akizungumza na vijana wa Ruangwa kwenye hafla ya kukabidhi pikipiki hizo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye viwanja vya CWT, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi, Waziri Mkuu alisema utoaji wa pikipiki hizo ni muendelezo wa mpango wa ofisi ya Mbunge wa kuwawezesha vijana, wanaume, wanawake na wazee.

“Mwaka 2016/2017 tulichukua pikipiki 235 na kuzigawa kwenye wilaya yote hii. Na jambo zuri kwa sasa, kwenye Serikali ya awamu ya sita, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Tanzania na yeye ameamua kuwa na kada ya wasafirishaji wa wadogo, wa kati na wakubwa.”

Waziri Mkuu Majaliwa ambaye pia ni mbunge wa  Ruangwa aliwaeleza vijana hao watambue kwamba na wao ni wasafirishaji wa usafiri wa kawaida kwa kutumia pikipiki.

Mapema, akielezea mradi huo, Mwenyekiti wa wafanyabiashara wadogo wa soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam, Bw. Martin Mbwana alimweleza Waziri Mkuu kwamba pikipiki hizo zitakopeshwa kwa bei ya sh. milioni 2.6 bila riba yoyote na kwamba muda wa marejesho ni miezi nane.

“Kuanzia sasa hadi Desemba, mwaka huu mtu anapaswa awe amekamilisha mkopo wake. Na kianzio ni kati ya sh. 500,000 hadi 700,000. Mkopo huu umetolewa chini ya mdhamini mkuu, Bw. Mpaluka Hashim Mtopela,” alisema.

Alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufungua milango ya biashara na kuongeza: “Nikiwa mwenyekiti wa wafanyabiashara wadogo wa soko la Kariakoo, niko hapa Ruangwa ili kuwawezesha vijana wa Ruangwa,” alisema.

Kwa upande wake, mdhamini mkuu wa pikipiki hizo, Bw. Mpaluka Hashim Mtopela alimshuruku Waziri Mkuu kwa kuamua kuwajali vijana wa jimbo lake. “Mwaka 2016 ulitoa pikipiki 235 ambazo zimewesha vijana zaidi ya 600 kuishi maisha mazuri wao na familia zao. Wako waliopewa pikipiki moja lakini leo hii wanamiliki pikipiki tatu hadi nne.”

“Hii ina maana leo tukimpa kijana sh. milioni 2.6, baada ya muda ataweza kutengeneza shilingi milioni 7. Vijana hawa nimewachukulia dhamana kwa sababu ninaamini wanaweza kuzirejesha. Safari hii tumechukua pikipiki lakini muda ujao tutachukua mashine ya kufyatulia matofali au ya kumwagilia bustani kwa sababu tunao vijana wenye uwezo,” alisema

About the author

Alex Sonna