Featured Michezo

MERIDIANBET USHINDI UNATENGENEZWA KWA ODDS KUBWA

Written by mzalendoeditor

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/RfY0Lb

 

 Wikiendi hii ya moto sana, kuna Der Klessiker kutoka Bundasliga ni Bayern Munich vs Borussia Dortmund, EPL Erling Halaand atakutana na Darwin Nunez wakati Napoli nao wakijiandaa kukipiga na AC Milan unaanzaje kuziacha mechi hizi bila kubashiri na Meridianbet ikiwa zote zimepewa odds kubwa.

Ni Pep Guardiola na Jurgen Klopp watatunishia misuli kwa ubora wa mbinu zao, haipingwi mjerumani huyo wa Anfield ni moja ya makocha bora EPL lakini haitoshi kumuweka chini Guardiola. Ni Manchester City vs Liverpool odds kubwa Meridianbet unazipata jiunge na mabingwa uwe bingwa.

Wakati hayo yanaendelea kwenye dimba la Stamford Bridge darajani Chelsea atakua na shughuli ya kuzisaka pointi 3 kutoka kwa Aston Villa. Odds za ushindi ziko hivi Chelsea 1.67 vs 5.09 ya Villa. Lakini pia vinara wa Ligi Arsenal jeshi la Arteta litakipiga na Leeds ambao wamepewa odds kubwa ya 9.60 ashinde huku sare ikiwa na 5.88, odds za ushindi Newcastle vs Man United 2.40 vs 2.89 Bashiri mubashara mechi hizi au kwenye duka la ubashiri la Meridianbet uwe moja ya washindi.

Moja ya ligi ngumu sana Bunasliga kuna michezo mingi wikiendi hii mechi kali ni Wolfsburg vs Augsburg, Union Berlin vs Stuttgurt, RB Leipzig vs Mainz lakini mechi inayosubiriwa na wengini Derby ya Der Klassikerni Bayern Munich vs Borussia Dortmund wakiwa na utofauti wa alama 1 tu Bayern Munichwa pili kwenye msimamo na alama 52 wakati  Dortmund anaongoza ligi kwa pointi 53, huu mchezo utaishaje?  Odds kubwa za ushindini Dortmund ana 5.48 sare 5.09 na ushindi kwa Bayern una 1.47

Mkeka wako hakikisha umekamilika na ili ukamilike haki kiza unapita kwenye ligi kubwa ulaya SerieA Juventus atakipiga na Verona, Inter Milan vs Fiorentina, Roma vs Sampdoria huku kubwa kuliko ni odds kubwa mechi ya Napoli dhidiya AC Milan machaguo 1000+bashiri mubashara au kwenye duka la ubashiri ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Bonyeza hapa kufahamu kuhusu ofa hii www.meridianbet.co.tz

About the author

mzalendoeditor