marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

pashagaming

şğp

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

sonbahis

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

klasbahis

savoybetting giriş

goldenbahis

savoybetting

klasbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

sahabet

Madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

casibom

marsbahis

jojobet giriş

jojobet

alobet

alobet giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

trendbet giriş

bets10

jojobet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

türkçe altyazılı porno izle

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

grandpashabet

vdcasino

trendbet

imajbet giriş

milanobet

imajbet

perabet giriş

perabet

ngsbahis

kralbet giriş

milanobet giriş

สล็อตเว็บตรง

bets10

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

kingroyal

trust score weak 3

jojobet

slot siteler

casino siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betsat

betsat giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu veren siteler

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

superbetin

madridbet

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

romabet

piabellacasino

güvenli casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet

jojobet giriş

ilbet

deneme bonusu

deneme bonusu

holiganbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

celtabet

Featured Kitaifa

WANAWAKE WAHIMIZWA KUJIUNGA NA MAJUKWAA

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Machinga Halmashauri ya Manispaa ya Tabora wakati wa ziara yake mkoani humo kusikiliza kero za Makundi Makundi mbalimbali ndani ya Jamii tarehe 26 Machi, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wananchi kupitia Redio CG Fm wakati wa ziara yake mkoani Tabora tarehe 26 Machi, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima na Mwenyekiti wa jukwaa la uwezeshaji Wanawake kiuchumi mkoa wa Tabora, wakiutazama mwongozo wa uanzishaji na uendeshaji wa majukwaa hayo baada ya kuhitimisha ziara ya siku mbili mkoani hapo tarehe 26 Machi, 2023

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akisikiliza kero za baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo(machinga) katika soko la Machinga Manispaa ya Tabora wakati wa ziara yake mkoani humo.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima katika picha ya pa.oja na wadau mbalimbali ikiwemo SMAUJATA baada ya kuhitimisha ziara yake mkoani humo.

Na WMJJWM, Tabora

Wito umetolewa kwa Wanawake kujiunga na majukwaa ya uwezeshaji kiuchumi Ili kujadili na kufahamishana kuhusu fursa za Maendeleo na uchumi.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito huo akihitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani Tabora iliyolenga kufuatilia utekelezaji wa Sera na Mipango inayosimamiwa na Wizara hiyo Machi 25-26, 2023.

Waziri Dkt. Gwajima amesema Majukwaa hayo yanawawezesha Wanawake kujiimarisha kiuchumi na kujitegemea hivyo kuwaepusha na changamoto ya ukatili wa kijinsia kwa kutokuwa tegemezi.

Ametoa maelekezo kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoa mafunzo kwa viongozi wa majukwaa hayo ili kuwajengea uwezo yafanye kazi kikamilifu.

“Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake kiuchumi ni sehemu inayowaweka Wanawake pamoja ili wajadili na kupeana taarifa ya fursa za kiuchumi zilizopo na changamoto zinazowakabili Ili kuja na ufumbuzi, majukwaa haya aliyaasisi Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu akiwa Makamu wa Rais na ajenda hii inaendelea. Wanawake wakiwa kwenye majukwaa ni rahisi kuwafikia” amesema Dkt. Gwajima.

Aidha, Waziri Dkt. Gwajima ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa kushirikiana na wananchi kutatua changamoto ndani ya Jamii kupitia mifumo iliyowekwa ili kuwalinda watoto dhidi ya ukatili.

Amesema Kamati za ulinzi wa Wanawake na Watoto ngazi ya vijiji na Mitaa zina uwezo wa kuibua na kutatua changamoto ya vitendo vya ukatili iwapo zitafanya kazi yake kikamilifu ambapo taarifa ya wilaya ya Sikonge iliyowasilishwa na Kaimu Katibu Tawala wa wilaya hiyo Rosina Swai inasema kwa kipindi cha 2022-2023 watoto wa kike 34 wameacha shule kutokana na mimba za utotoni na kwamba watoto 1059 hawapo shuleni kwa utoro.

Vilevile, Waziri Dkt. Gwajima amewaelekeza Maafisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha takwimu za kundi la Wajane na Yatima zinapatikana kabla ya mwezi Juni kwa lengo la kutambua idadi yao na kuwezesha Uratibu wao.

Kuhusu wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama machinga, Waziri Dkt.Gwajima amezishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa kukaa na kuzungumza na kundi hilo Ili ubaini changamoto zao hususani maeneo ya kufanyia biashara.

Ameupongeza mkoa wa Tabora kwa juhudi zake kuhakikisha kila Wilaya machinga wametengewa maeneo katikati ya miji hivyo kurahisisha mazingira mazuri ya biashara.

Akizungumzia Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amesema Wadau ni muhimu kushirikishwa katika maeneo yote ili kutoa mchango wao katika kuendeleza Jamii.

Katika ziara yake Waziri Gwajima amekutana na Makundi ya Wajane, machinga, mabaraza ya wazee, mabaraza ya watoto, majukwaa ya uwezeshaji Wanawake kiuchumi na Kamati
za MTAKUWWA katika Halmashauri ya Wilaya Sikonge na Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.

Kwa upande wao baadhi ya wananchi katika mkutano hiyo wameipongeza Serikali hasa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuhakikisha anaimarisha Ustawi na Maendeleo ya Jamii na kuunda wizara Maalum.

“Rais Samia ni kiongozi wa mfano tunazidi kumpongeza hasa sisi Wanawake wa mkoa wa Tabora, tangu aanzishe Wizara hii tumetambuliwa na wewe Mhe Waziri umekuwa bega kwa bega na sisi’ amesema Ashura Mazembe Katibu wa Jukwaa la Wanawake mkoa wa Tabora.

About the author

Alex Sonna