Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

meritking

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betsat

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

jojobet

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI YA NMB NA TFS

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizindua rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 27 Machi 2023. (Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi – TAMISEMI Angellah Kairuki , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera ,Bunge na Uratibu George Simbachawene , Mkuu wa Mkoa Dodoma Rosemary Senyamule, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna, Mwenyekiti wa Bodi ya wa Benki NMB Edwin Mhede pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipanda mti aina ya Komamanga mara baada ya kuzindua  rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa uzinduzi rasmi kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna wakati alipowasili katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma kuzindua kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) leo tarehe 27 Machi 2023. ( Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya wa Benki NMB Edwin Mhede na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema suala la kupanda miti ni lazima na kuzitaka Halmashauri zote nchini kusimamia kwa karibu na kuhakikisha kwamba mazingira ya maeneo yao yanakuwa ya kijani, safi na ya kuvutia na zoezi hilo liwe endelevu.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa akizundua kampeni ya kupanda miti kitaifa kwa hisani ya Benki ya NMB ikishirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), uzinduzi uliofanyika katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 27 Machi 2023. Amesema Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wanapaswa kutoa maelekezo kwa shule, taasisi mbalimbali na kwa wananchi ili washiriki kikamilifu katika uhifadhi na usafi wa mazingira. 

Vilevile Makamu wa Rais ameziagiza Halmashauri kwa kushirikiana na TFS, kupanda aina za miti ambayo inaendana na mazingira ya maeneo waliopo pamoja na kuiwezesha jamii hususani ya vijana kupata elimu zaidi kuhusu utunzaji wa miti ili kuhakikisha wanachangia katika uhifadhi wa mazingira kwa weledi. 

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema Serikali inafahamu na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na sekta binafsi pamoja na taasisi za kidini hapa nchini katika kuhakikisha utekelezaji wa mipango mbalimbali ya uhifadhi wa mazingira inakuwa na mafanikio. Pia ametoa wito kwa taasisi hizo kuongeza juhudi hasa katika kuhamasisha, kukuza uelewa na kujenga uwezo wa jamii na taasisi mbalimbali kuhusu hifadhi ya mazingira pamoja na kutafuta rasilimali fedha zitakazo changia utekelezaji wa Sera ya Mazingira.  Ametoa rai kwa Benki ya NMB kuona uwezekano wa  kutumia umoja wa Mabenki (TBA) kuongeza nguvu zaidi katika kuifanya  Dodoma kuwa ya kijani kwa muda mfupi zaidi  kwa kutambua ndio makao makuu ya nchi.

Kwa Upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema ajenda ya upandaji miti nchini ni maelekezo ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi inayotaja kupanda miti milioni 1.5 kwa kila halmashauri na miti milioni 40 kwa mkoa wa Dodoma pekee katika kipindi cha miaka mitano. Dkt. Jafo ameipongeza Benki ya NMB kwa jitihada wanazozifanya katika kushirikiana na serikali kwenye uhifadhi wa mazingira.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna amesema Benki hiyo itapanda miti milioni 1 kwa mwaka 2023 nchi nzima na kuitunza kuhakikisha inafikia lengo. Ameongeza kwamba Benki hiyo itaendesha shindano maalum la upandaji miti mashuleni litakalofahamika kama “kuza mti tukutuze” ambapo kupitia shindano hilo litakalofanyika kwa mwaka mmoja na nusu shule zitashindana kutunza miti watakayokabidhiwa na TFS.

Amesema pamoja na zawadi mbalimbali zitakazotolewa lakini pia shule itakayoweza kupanda miti 2000 na kukuza asilimia 80 na zaidi ya miti hiyo itafanikiwa kupata zawadi ya shilingi milioni 50. Bi Zaipuna amesema Benki ya NMB inatambua wajibu ilionayo katika jamii kuhakikisha wanatunza mazingira ili utendaji wa kazi kuwa mzuri na bora zaidi kwani mazingira yanapoharibika hakuna kundi linalobaki salama.

Kamishna wa Uhifadhi Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Prof. Dos Santos Silayo amesema TFS itashirikiana vema na NMB kuhakikisha wanatekeleza vema adhma ya upandaji miti milioni 1 kwa kutoa miongozo mbalimbali ya kitaalamu na kushirikiana nao katika kila Nyanja kuhakikisha adhma hiyo inafanikiwa.

Aidha Prof. Silayo amesema ushirikiano baina ya NMB na TFS utasaidia katika kuongeza wigo wa upatikanaji wa miche ya miti jamii mbalimbali katika maeneo mbalimbali nchini na kuipanda kwa weledi kuhakikisha inastawi. Ametoa wito kwa wadau mbalimbali kuendelea kujitokeza kusaidiana na serikali katika kuongeza nguvu kwenye uhifadhi katika kutekeleza kazi mbalimbali zinazopunguza utegemezi wa misitu na hasa kutoa elimu kwa umma kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa misitu, upandaji miti na kuhifadhi mazingira.

Katika uzinduzi wa kampeni hiyo zaidi ya miti 3000 imepandwa katika eneo la Mtumba jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna