Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa ABSA Group Bw. Arrie Rautenbach ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya Taifa ya Biashara Tanzania (NBC) pamoja na Uongozi wa Juu wa Benki ya ABSA Group ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa ABSA Group Bw. Arrie Rautenbach ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Benki ya Taifa ya Biashara Tanzania (NBC) pamoja na Uongozi wa Juu wa Benki ya ABSA Group ambao ni Wawekezaji wenza na Serikali, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.