Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet giriş

betsat

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

norabahis

setrabet

jojobet giriş

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

mavibet giriş

mavibet

royalbet giriş

mavibet giriş

norabahis giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

norabahis giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

norabahis

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

mariobet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

maxwin

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

sahabet

dinamobet giriş

casibom

vaycasino

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

vaycasino

ultrabet

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betzula

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu veren siteler

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

casibom

royalbet

casibom

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pusulabet

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

matbet

Jojobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

royalbet

artemisbet

artemisbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

betwild

Featured Kitaifa

UWEPO WA RELI YA SGR NI FURSA KWENU, WAZIRI MKUU AWAAMBIA WANA-MALAMPAKA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye uwanja wa Malampaka wilayani Maswa akiwa katika ziara ya Mkoa wa Simiyu, 

Baadhi ya mwananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowahutubia kwenye uwanja wa Malampaka wilayani Maswa akiwa kwenye ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu watumie uwepo wa reli ya kimataifa (SGR) kama ni fursa ya kujijenga kiuchumi.

Ametoa wito huo jana jioni (Jumapili, Machi 26, 2023) wakati akizungumza na mamia ya wananchi na viongozi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Mwenge, Malampaka mjini, wilayani Maswa.

“Hii reli ujenzi wake ni wa viwango. Reli hii itakuwa na kituo kikubwa sana hapa Malampaka. Kutakuwa na kituo cha kupakia na kushusha abiria lakini pia kutakuwa na kituo kikubwa cha kupakia na kushusha mizigo. Halmashauri pimeni ardhi ili wananchi wapate viwanja vya makazi, wapate hati za kufanyia shughuli za maendeleo,” alisema.

“Wananchi anzeni kujenga nyumba za kulala wageni ili kituo kitakapokamilika na wageni wakianza kushuka wasilazimike kwenda Mwanza moja kwa moja bali walale hapa watuachie hela. Jengeni hoteli za viwango tofauti,” alisisitiza.

Aliwataka viongozi wa wilaya wasiwaache wananchi peke yao bali wawaandalie miundombinu ya ujasiriamali ili akinababa lishe na akinamama lishe wapate maeneo ya kuuzia vyakula vyao kwa ajili ya wageni ambao hawatapenda kula vyakula vya hotelini.

“Wakulima na nyie limeni kwa wingi. Chakula mtakachovuna, mtawauzia watoa huduma kwenye huo mradi. Malampaka ni uchumi na ni mji unaokua kwa kasi,” alisema.

Akijibu hoja ya uhaba wa maji iliyoibuliwa na wananchi hao, Waziri Mkuu alisema Mamlaka ya Maji Vijijini (RUWASA) ilishafanya utafiti na kubaini kuwa maji mengi yaliyoko kwenye eneo hilo hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa sababu yana chloride nyingi.

Alisema, kutokana na hali hiyo, Serikali imetenga sh. bilioni 22.4 za mradi wa kutoa maji Ziwa Victoria kwenda Tabora ambao utapita maeneo hayo na kuwanufaisha wananchi hao.

Mapema, Waziri Mkuu alikagua ujenzi wa reli ya kimataifa (SGR) kipande cha tano cha  kutoka Isaka hadi Mwanza katika vijiji vya Nyashimba na Badi ambako alielezwa kuwa ujenzi wake umefikia asilimia 28.03.

Akitoa taarifa kwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli nchini (TRC), Eng. Masanja Kadogosa alisema kipande cha Isaka – Mwanza chenye urefu wa km. 341 kinajengwa kwa ubia wa kampuni ya CCECC na CRCC zote za China na kitagharimu sh. trilioni 3.06.

Akitoa mchanganuo wa wafanyakazi waliopo kwenye kipande hicho, Eng. Kadogosa alisema hadi sasa mradi wa SGR Lot 5 ulikuwa na wafanyakazi 6,771 ambapo 6,210 sawa na asilimia 91.71 ni Watanzania na 561 sawa na asilimia 8.29 ni raia wa kigeni. “Pia kuna sub-contractors 66 na watoa huduma 337 na hivyo kufanya kiasi cha dola za Marekani milioni 35.4 zibakie kutoa huduma za ndani (local content),” alisema.

Naye Mbunge wa Maswa Magharibi, Bw. Mashimba Ndaki aliishukuru Serikali kwa kuweka kituo kikubwa cha kushusha na kupakia abiria hapo Malampaka kwani anaamini kuwa kitahudumia mkoa huo wa Simiyu, mkoa wa Mara na mji wa Kisumu, Kenya.

“Kikijengwa kituo cha kushusha abiria, na cha kushusha na kupakia mizigo hapa Malampaka, tutafaidika kusafirisha pamba kwa urahisi lakini tunaomba pia tujengewe pakilio la ng’ombe kwa sababu sisi ni wafugaji na tuna mifugo mingi,” aliomba.

Kuhusu sekta ya elimu, Bw. Ndaki alisema kwa mwaka huu peke yake, wamepatiwa sh. milioni 660 ambazo zimetumika kujenga madarasa 33. Na katika afya, alisema ndani ya miaka miwili, wamepokea sh. milioni 400 ambazo zimetumika kujenga zahanati nane. “Pia tumejenga vituo vya afya vya Badi, Shishiu na Zibeya kwa gharama ya sh. milioni 300 kila kimoja,” alisema.  

Waziri Mkuu amemaliza ziara ya siku tatu katika mkoa wa Simiyu ambako alikagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi kwenye wilaya za Itilima, Bariadi na Maswa.

About the author

Alex Sonna