Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

MAJALIWA:’MAAFISA HABARI SERIKALINI ONGEZENI UBUNIFU

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, wakati alipofungua kikao kazi cha Maafisa hao, kilichofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua jarida maalum la miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali. Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye .

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha jarida maalum la miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali. Kushoto ni Spika Dkt. Tulia Ackson na Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kwenye kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyotolewa na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali kwa kutambua mchango wake katika nyanja mbalimbali ikiwemo tasnia ya habari, Uhusiano wa Kimataifa, Siasa, ukuaji wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, wakati wa kikao kazi cha maafisa hao. Kushoto ni Spika Dkt. Tulia Ackson na Kulia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye kwenye kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam. 

*Awataka wahakikishe wananchi wanapata elimu na taarifa sahihi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini waongeze ubunifu wa kusukuma ajenda za Serikali kwa umma na si kusubiri kazi zifanywe na waandishi wa habari wengine.

“Mnapofanya kazi ongezeni ubunifu wa kusukuma ajenda za Serikali kwa umma na msisubiri kazi zifanywe na wanahabari wengine. Hakikisheni kila mwananchi anapata elimu na taaarifa sahihi kuhusu faida na umuhimu wa miradi na mipango au shughuli zinazotekelezwa na Serikali,” amesema.

Ametoa wito huo leo asubuhi (Jumatatu, Machi 27, 2023) wakati akifungua kikao kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichoanza leo katika Kituo Cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

Akifungua kikao hicho kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu amesema: “Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini mnao wajibu wa kuhakikisha kuwa yale yote yanayopangwa na kutekelezwa na Serikali yanafahamika kwa umma wa Watanzania kwa usahihi, kwa wakati na kwa tija.”

Amesema wanapofanya mawasiliano hasa ya kimkakati, wahakikishe wanafahamu lengo la mawasiliano wanayotaka kufanya, faida na matarajio ya kutekeleza mawasiliano husika, nani mlengwa wa mawasiliano hayo pamoja na kuchagua njia sahihi za mawasiliano.

“Nimeona nisisitize hayo kwa kutambua kuwa mafanikio ya Serikali hayana budi kufahamika kwa wananchi wote na ni wajibu wa kila taasisi kuhakikisha mawasiliano hayo yanakuwa ya kimkakati ili yaweze kuleta tija na kufikia malengo yaliyokusudiwa.”

Ili kuwawezesha maafisa hao kutekeleza majukumu yao, Waziri Mkuu amewaagiza Makatibu Wakuu wote, Wakurugenzi wa Halmashauri na taasisi zote za umma watenge bajeti ya kutosha kugharamia shughuli za utoaji wa taarifa pamoja na elimu kwa umma na kuhakikisha jukumu hilo linatekelezwa kwa tija na ufanisi uliokusudiwa.

Pia amewataka viongozi wa wizara na wakuu wa taasisi waweke kipaumbele cha kuwashirikisha maafisa habari kwenye vikao mbalimbali ikiwemo vikao vya menejimenti ili waweze kwenda na wakati na kupata ufahamu wa kutosha wa taasisi na mipango ya Serikali.

Mapema, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari alisema wizara hiyo ipo katika hatua za mwisho kukamilisha utayarishaji wa Mkakati wa Taifa wa Mawasiliano kwa Umma (The National Communications Strategy) ambao ukikamilika utaainisha na kufafanua utaratibu wa upatikanaji na usambazaji wa taarifa za Serikali kwa umma.

“Pamoja na mkakati huo, tuko kwenye hatua za mwisho za uandaaji wa Mkakati wa Mawasiliano Serikalini wakati wa Majanga (Risk Communication Strategy) na Mkakati wa Taifa wa Kujitangaza (National Branding Strategy).”

Alisema mkakati huo utakapokamilika na kuanza kutumika, unatarajiwa kuweka misingi ya kusimamia usambazaji wa taarifa zenye maudhui ya ajenda za kitaifa, kuboresha mbinu na teknolojia ya ukusanyaji, uchakataji na usambazaji wa taarifa za Serikali kwa wananchi, na kuweka mfumo madhubuti wa namna Serikali inavyopaswa kutoa ufafanuzi, kukanusha ama kutuliza na kuwatoa hofu wananchi pale ambapo kutatokea mkanganyiko au taarifa za upotoshaji.

Pia alimkabidhi tuzo ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutambua na kuthamini mchango wake katika kuimarisha sekta ya habari, demokrasia, uwazi, uhuru wa kutoa maoni na kupata taarifa nchini.

Kikao kazi hicho kinachotarajiwa kumalizika Machi 31, 2023 kinahudhuriwa na washiriki zaidi ya 500 ambao ni Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwenye wizara mbalimbali, taasisi za umma, Halmashauri na idara zinazojitegemea. Kaulimbiu ya mwaka huu ni: “Mawasiliano ya Kimkakati, Injini ya Maendeleo.”

About the author

Alex Sonna