Featured Michezo

SLOTI YA DEUCES WILD USHINDI NI RAHISI

Written by mzalendoeditor

Sloti ya Deuces Wild Poker

Sloti ya Deuces Wild Poker ni moja kati ya michezo pendwa ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet, kwa dau dogo sana unaweza kujishindia mkwanja wa kutosha, na ni rahisi sana kushinda na kuucheza huhitaji kutumia akili nyingi ni mchezo wa karata zikitoka za kufanana unakua kwenye nafasi ushindi.

Ukiingia katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, utakuta mchezo  wa Deuces Wild Poker ambao ni mchezo wa karata unaopendwa na watu wengi sana duniani kote! Mchezo huu wa Poker au karata unaweza kukurudishia mpaka 97.58% ya dau lako!

Unachezaji Sloti ya Deuces Wild Poker?

Sio hata ngumu sana kama michezo mingine, sloti hii ya Deuces Wild Poker kutoka Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unavyokua unacheza ni kama unamsukuma mlevi vile.Unaweza kujaribu sloti nyingi rahisi kama Aviator, Poker na Roulette.

Hatua ya 1: Bofya idadi ya mikono unayotaka kucheza, unaweza kuchagua kati ya 1, 5, 10, 50 au 100. Baada ya kuchagua mikono, utapelekwa kwenye sehemu yenyewe ya mchezo ambapo utaweza kuchagua kiasi cha sarafu “coin”unazotaka kucheza ni kuanzia 1 mpaka 5 lakini kila mstari una kiwango chake cha sarafu. Weka kiwango unachotaka ukiwa unategemea ushindi mkubwa kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni!

Hatua ya 2: Anza kucheza kwa kubonyeza kitufe cha “Deal” ambacho kitakupa karata tano mkononi, unaweza kuchagua zile za kucheza na zile za kuzihifadhi kwa mzunguko unaofuata. Meridianbet kasino ya mtandaoni kwa kushirikiana na Habanero wamekupa chaguo la “Auto Hold” ambalo linakusaidia kuchagua karata za kuhifadhi pembeni kwa matumizi ya baadae ya sloti hii.

Ukishaanzisha mchezo,subiri ushindi mkubwa! Usisahau karata ulizozihifadhi zinaweza kutumika na kukupa mpaka ushindi wa mara 250 papo hapo.

Ingia mchezoni na hatojutia kuijachagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti kibao za kijanja kama Aviator, Poker, Roulette inayokupa bonasi kibao, kwa wewe  unaye bashiri mubashara soka, mtandaoni au bila bando au kupitia kwenye duka la ubashiri unapata odds kubwa na machaguo kibao.

About the author

mzalendoeditor