Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAUNGA MKONO WASAMBAZAJI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na Umoja wa Wafanyabiashara wa Gesi za Mitungi ya Majumbani nchini (TZLPGA) wakati akizundua umoja huo uliofanyika Machi 15, 2023 jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Gesi za Mitungi ya Majumbani nchini (TZLPGA) uliofanyika Machi 15, 2023 jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) akimueleza jambo Mwenyekiti Mteule wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Gesi za Mitungi ya Majumbani nchini (TZLPGA), Benoit Araman( wa pili kulia) wakati akizundua umoja huo uliofanyika Machi 15, 2023 jijini Dar es Salaam.

Na Zuena Msuya, Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema kuwa, Serikali inaendelea kuunga mkono juhudi za Sekta Binafsi katika kuhakikisha watanzania wote wanatumia nishati safi ya kupikia ili kutimiza azma ya Serikali ya kuhakikisha asilimia 80 ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia hadi kufikia mwaka 2034.

Hayo yalielezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba wakati akizindua Umoja wa Wafanyabiashara wa Gesi za Mitungi ya Kupikia nchini (TZLPGA), Machi 15, 2023 jijini Dar es Salaam.

Mramba aliwapongeza wafanyabiashara hao kwa kuanzisha umoja huo kwakuwa watakuwa wakiweka mipango ya pamoja kuhakikisha kuwa watanzania wote wanatumia nishati safi ya kupikia kwa vile wao ndiyo wadau wakubwa wa kusambaza gesi za mitungi kwa matumizi ya majumbani kwa ajili ya kupikia.

Alisema, Serikali imeweka wazi na mfumo rafiki wa uwekezaji nchini ili kila mwekezaji aweze kuwekeza katika sekta husika ili kutimiza azma ya Serikali inayotaka 80% ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia ndani ya kipindi cha miaka kumi.

“Tunaendelea na mpango mkakati wa miaka kumi, kwa kuweka sheria, kanuni na taratibu ili ikifika mwaka 2034, tuhakikishe watanzania zaidi ya  80% wawe wanatumia nishati ya kupikia na mipango hiyo inaendelea vizuri sana” , alisema Mramba.

Alifafanua kuwa, takwimu zinaonyesha kuwa watu 32,000 wanafariki kila mwaka  nchini Tanzania kutokana na  kutumia nishati isiyo salama kwa kupikia, hivyo katika kukabiliana na changamoto hiyo Serikali inashirikiana na wadau kuhamasiha watanzania kutumia nishati safi ya kupikia kwa kuwawekea mifumo rahisi na rafiki.

Amewataka wafanyabiashara hao kutanua wigo wa biashara hiyo hadi vijijini na kwa gharama nafuu, ili kila mtanzania aweze kumudu gharama hizo.

Kwa upande wake Mwenyekiti Mteule wa umoja huo, Benoit Araman ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Energies Tanzania aliishukuru Serikali ya Awamu ya 6, inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mkazo katika matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Araman alisema wao kama wadau wakuu wa kusambaza gesi za mitungi  majumbani hapa nchini wanaihakikishia Serikali kuwa wako tayari na wamejipanga kuhakikisha bidhaa hiyo inawafikia watanzania  wote tena kwa gharama nafuu na kuboresha njia za upatikanaji wake.

Umoja huo unaundwa na Kampuni 6 zinazofanya biashara ya gesi za mitungi kwa matumizi ya majumbani ambazo ni CAMGAS, O-GAS, LAKE GAS, TAIFA GAS, ORYX GAS na MANJI GAS.

About the author

Alex Sonna