Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

BMH, 33 WALIOJITOLEA FIGO WAPO SALAMA,NJOONI MTOE FIGO

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI  Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),Dk Alphonce Chandika,akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani)  wakati akielezea miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital hiyo leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

BALOZI wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yusushi Misawa,akizungumzia ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Japan wakati wa mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI wa Shonan Kamakura General Hospital Prof.Shuzo Kobayashi,akizungumzia mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Taasisi ya Tokushukai Dkt. Higashiue Shinichi,akizungumzia mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

DAKTARI Bingwa wa Magonjwa ya Figo Chuo Kikuu cha Dodoma na Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt.Alfred Meremo,akizungumzia wakati wa  mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

DAKTARI Bingwa Magonjwa ya Figo Hospitali ya Benjamin Mkapa Dk.Kessy Shija,akielezea magonjwa ya figo wakati mtu anapotaka kusaidiwa Figo wakati wa  mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

MAKAMU  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Lughano Kusiluka,akizungumza wakati wa  mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

Mdau wa Sekta ya Afya Dkt. Zainab Chaula,akizungumza wakati wa  mafanikio ya miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI  Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH),Dk Alphonce Chandika,akimkabidhi Cheti ya ushirikiano Mwenyekiti  wa Taasisi ya Tokushukai Dkt. Higashiue Shinichi, wakati wa mafanikio ya  miaka mitano ya Upandikizaji figo katika hospital hiyo leo Machi 13,2023 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

HOSPITALI ya Benjamini Mkapa  imefanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa 33 kati ya hao wagonjwa 22 wamepandikizwa na wataalamu wazawa.

Aidha imesema  mtu anaechangia figo yupo salama na hapatwi na maradhi yoyote ambapo mpaka sasa wametoa figo za watu 33 ambao hawajapata madhara yoyote.

Hayo yameelezwa leo Machi 13,2023,Jijini hapa na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo,Dk Alphonce Chandika, wakati alipokuwa akizunguza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya  miaka mitano tangu hospitali hiyo ilipoanza kupandikiza figo.

“Jambo hili limefanikiwa kwani mpaka sasa tumefanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa 33 kati ya hao wagonjwa 22 wamepandikizwa na wataalamu wazawa.

“Ni furaha yangu kuwaambia kwamba kwa sasa wataalamu wetu wanafanya zoezi hili wao wenyewe bila ya kuwepo kwa usimamizi wa watu wa Japan haya ni mafaniko makubwa,”amesema Dk Chandika

Amesema gharama za matibabu ya figo nchini India na Duniani kote ni makubwa ambapo Serikali ya Tanzania itaweza kuokoa kutokana na kupeleka wagonjwa nje ya nchi kwasababu huduma huyo kwa sasa inapatikana nchini.

Aidha Dk.Chandika amesema Serikali imeweka vifaa tiba na miundombinu ya kisasa kwa ajili ya kufanikisha huduma hiyo.

Amesema gharama ya kumpeleka mgonjwa kutibiwa India ni Sh kati ya milioni 77 hadi 80 kwa mgonjwa kufanyiwa upandikizaji ambapo kwa hapa nchini ni Sh milioni 35.

“Huu ni ugonjwa ambao mtu anatakiwa awe na fedha za kutosha kuanzia usafishaji wa damu ambayo ni hatua ya mwanzo kabla ya kufanya upandikizaji wa figo.

Amesema mgonjwa hutakiwa damu walau mara tatu kwa wiki ambayo humgharimu Sh 700,000 mpaka 900,000.

Aidha amesema Hospitali inahitaji kuwa  na wataalamu wasiopungua 32 kwa upandikizaji mmoja ‘one pair’ wanaotokana na taaluma mbalimbali za eneo la upandikizaji figo.

Ameyataja maeneo hayo ni madaktari bingwa wa upasuaji,mabingwa wa magonjwa ya figo,mabingwa wa maabara,mabingwa wa usingizi,wauguzi wa upasuaji,wauguzi wa vyumba vya uangalizi maalum.

Wengine ni wataalamu wa mambo ya jamii,wataalamu wa lishe na ofisi inayoratibu zoezi zima la upandikizaji wa figo.

Amesema mpaka sasa,Hospitali ya Benjamini Mkapa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Tokushukai Medical Group wamefanikiwa kuwapatia mafunzo wataalamu 13 nchini Japan.

“Kwa miaka hii mitano tumegundua ama kujifunza kwamba wananachi wengi hatupo tayari kujitolea kuwachangia ndugu na jamaa zetu waliyo na maradhi ya figo wenye vigezo na uhitaji wa kupandikizwa,”amesema 

Dk.Chandika amesema kuwa mtu anaechangia figo yupo salama na hapatwi na maradhi yoyote kwa sababu ya kuchangia figo.

“Nasema haya kwa uhakika kabisa tuna watu 33 waliochangia figo kunusuru maisha ya ndugu zao hapa hospitali ya Benjamini Mkapa hakuna hata mmoja aliyewahi kurudi akiwa na shida inayotokana na kuchangia figo.

Amesema mipango ya muda mfupi ni kuboresha huduma za kupandikiza kwa kujenga miundombinu stahiki ambapo amedai tayari wamemaliza hatua ya michoro ili kutengeneza eneo maalum la kutolea huduma za kupandikiza figo.

 ”Tunakumbana na changamoto mbalimbali ikiwemo baadhi ya watu kupiga simu na kutaka kuuza figo zao ambapo ni kinyume na sheria za nchi ambapo ni kosa kwa mtu kuuza viungo vyake vya miwili’amesema Dk.Chandika

Naye Mwenyekiti  wa Taasisi ya Tokushukai Dkt. Higashiue Shinichi, amesema kuwa taasisi hiyo itaendelea kushirikiana vizuri ili kuhakikisha Benjamin Mkapa inapiga hatua katika suala la Upandikizaji figo kwa wagonjwa.
“Tunaishkuru serikali ya Tanzania pamoja na Mkurugenzi wa BMH kwa kutuonyesha ushirikiano,tutaendelea kuwa pamoja ili kuimarisha wataalam wa mgonjwa ya figo,” amesema Dk Shinichi.

About the author

Alex Sonna