Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: VIJANA MSIOGOPE KUKOPA MITAJI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Dirisha la Kupokea Maombi ya Ushiriki wa Programu ya IMBEJU ya Benki ya CRDB kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa ufungunzi wa Dirisha la Maombi ya Ushiriki wa Programu ya IMBEJU ya Benki ya CRDB wakiimba Wimbo wa Taifa wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kwa ajili ya ufunguzi huo, Machi 12, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka vijana wasiogope kukopa ili kupata fedha za mitaji ya kibiashara lakini pia akawasisitiza wawe tayari kurejesha mikopo hiyo.

“Vijana wetu msiogope kukopa ili kupata mitaji. Bila kukopa huwezi kupata maendeleo. Eneo muhimu ni kupata taasisi za fedha kama CRDB lakini kikubwa zaidi ni kuwa tayari kulipa. Dawa ya kukopa ni kulipa,” amesema.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumapili, Machi 12, 2023) wakati akizungumza na washiriki  waliohudhuria semina ya uwekezaji na ufunguzi rasmi wa dirisha la kupokea maombi ya ushiriki wa programu ya iMBEJU ya Benki ya CRDB uliofanyika kwenye ukumbi wa JNICC, jijini Dar es Salaam. 

iMBEJU ni programu maalumu ya CRDB ya uwezeshaji kwa vijana na wanawake wajasiriamali ambayo ilizinduliwa Oktoba, 2022 katika Kongamano la Sita la TEHAMA lililofanyika Zanzibar.

Waziri Mkuu amewataka vijana na wanawake wajasiriamali watakaoshiriki programu hiyo waitumie fursa hiyo ipasavyo hasa ikizingatiwa kuwa watawezeshwa kupata elimu ya biashara, stadi za biashara na pia watawezeshwa kimitaji. Benki ya CRDB imekuwa ikishirikiana kwa karibu na Kamisheni ya Tehama (ICT-C) na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) katika kuinua vipaji kwenye masuala ya sayansi na teknolojia.

Akizungumzia baadhi ya miradi ya ubunifu ambayo aliiona kwenye maonesho, Waziri Mkuu amesema kuna vijana wamebuni mfumo wa kuzuia msongamano kwenye taa za barabarani na kuruhusu magari ya wagonjwa yapite haraka endapo kuna dharura imetokea.

“Wizara ya Ujenzi waone njia ya kuwawezesha vijana hawa ili waanze pilot project pale kwenye taa za UWT, FIRE na Muhimbili. Na kama siyo hapo, watafutiwe barabara nyingine yenye msongamano ili waweke mfumo wao na waoneshe ubunifu wao na pia sisi tupate suluhisho,” amesema.

Amesema Serikali imeendelea kutumia mifuko ya kukopesha vijana ili kurahisisha upatikanaji wa mikopo na mitaji iliyokuwa ikikwamishwa na uwepo wa masharti magumu kutoka kwa taasisi za fedha ikiwemo mabenki. “Kwa mfano, kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023, mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 imetolewa kwa miradi 85 ya vijana.”

Akizungumzia hatua za kisera za kukabiliana na changamoto ya ajira, Waziri Mkuu amesema miongoni mwa hatua zinazochukuliwa na Serikali ni kuita wawekezaji na kutoa fursa ya elimu kwa kila Mtanzania.

“Serikali imeendelea kuimarisha, kukuza na kusimamia ubora wa elimu inayotelewa nchini ili kuwapatia wananchi wake nyenzo stahiki za kupambana na umaskini. Miongoni mwa miradi ya kuboresha sekta ya elimu ni mradi wa kuboresha elimu ya sekondari (SEQUIP) ambapo kupitia mradi huo, zaidi ya shilingi trilioni moja zitatumika na kunufaisha zaidi ya wanafunzi milioni 6.5 hadi utakapokoma mwaka 2025.”

Mapema, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alisema Serikali inatarajia kwamba programu ya iMBEJU itazalisha teknolojia mahsusi kwa ajili ya Watanzania.

“Wabunifu wa Kitanzania ndiyo wenye nafasi kubwa ya kuja na teknolojia zitakazotufaa Watanzania. Hii ni fursa kwetu kama tutatumia changamoto zetu kama chachu ya bunifu zetu kwa ajili yetu na tena tutaweza kuongeza soko kwa kupeleka bunifu kwa wale tunaoshindana nao,” alisema.

Akitoa salamu zake kwa washiriki, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Khalid Salum Mohamed alisema SMZ inashirikiana na Tanzania bara na sekta binafsi kukabiliana na changamoto za mawasiliano.

“Kupitia Serikali ya Muungano, TCRA, kampuni ya Tigo-Zantel na UCSAF tumefanikiwa kuweka minara 45 katika visiwa vya unguja na Pemba na hasa vijijini ambako kulikuwa na changamoto ya mawasiliano. Ujenzi uliofanyika ndani ya miezi mitatu na pia tunajenga vituo vya TEHAMA kwenye wilaya zetu zote 11. Kila wilaya inakuwa na kituo kimoja.”

Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema katika programu ya iMBEJU watakuwa pia wakitoa mafunzo ya usimamizi wa biashara, matumizi ya mifumo ya TEHAMA, elimu ya fedha na masoko, na usaidizi wa kuboresha bidhaa na mawazo bunifu ambapo kwa kuanzia wametenga sh. bilioni tano.

“Vijana wanatakiwa kuwa na nidhamu ya fedha. Kupitia programu ya Imbeju, vijana watakuwa na nidhamu ya maisha, nidhamu ya fedha na nidhamu ya kibiashara.”

Kuhusu uwezeshaji wa wanawake wajasiriamali, Nsekela alisema benki hiyo itakuwa ikifanya kazi na taasisi na mashirika yanayofanya uwezeshaji kwa wanawake. Uwezeshaji utafanyika kwa vikundi na wajasiriamali mmoja mmoja.

About the author

Alex Sonna