Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WALEZI WA WATOTO KUPIKWA KWA MTAALA MMOJA- KAMISHNA MSAIDIZI MAKONA

Written by Alex Sonna

Na WMJJWM, DODOMA

Serikali ipo mbioni kukamilisha Mwongozo wa Mafunzo wa Malezi ya Watoto wadogo na wachanga ili kuleta uwiano na uelewa unaofanana wa ufundishaji wa Malezi na Makuzi kwa nchi nzima.

Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Baraka Makona ameyasema hayo
alipomuwakilisha Kamishna wa Ustawi wa Jamii Dkt. Nandera Mhando wakati wa kufunga mafunzo ya wiki mbili ya Walezi wa Watoto wadogo Mkoa wa Dodoma ambapo jumla ya Wahitimu 155 wamefuzu mafunzo hayo yaliyofanyika shule ya sekondari ya Dodoma.

Makona amesema Serikali ilizindua Mwongozo wa Malezi mwaka 2022 mwezi Septemba ili kuweka usawa wa mtaala ambao utatumika kulea watoto kwa kipindi wakacho kuwa kwenye vituo ambao bado haujaanza kutumika rasmi.

“Mwongozo tumeuzindua mwaka jana mwezi Septemba na kilichobaki ni kuwakabidhi nyinyi, nimewaagiza waratibu wauingize katika utaratibu wa mafunzo kwa mikoa mingine” amesema Makona

Makona amebainisha kuwa, katika kuboresha utoaji wa huduma za malezi kwenye vituo vya kulelea watoto wadogo na mchana, Wizara imetoa mafunzo kazini kwa wamiliki wa vituo na walezi wa watoto nchini kwa kuhakikisha wanakuwa na Mtaala mmoja.

“Tunatambua kulikuwa na tatizo la kila Chuo kuwa na Mtaaala wake, lakini sasa hivi, tumefanikiwa kuviratibu na kuviweka vyuo vyote kwenye utaratibu mmoja na Shabaha yetu ni kuwa na mtaala mmoja lakini pia Mtihani mmoja wakuwapima kwa nchi nzima” amesema Makona.

Katika hatua nyingine, Kamishna Msadizi wa Ustawi wa Jamii Makona amewataka wahitimu hao kuwa na ushirikiano na viongozi waliopo kwenye maeneo yao kwa kutoa taarifa za changamoto zinazowakabili huku akichagiza umuhimu wa kuwepo kwa vyama vya uongozi miongoni mwao.

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ambaye pia ni Mratibu Mwandamizi wa mafunzo ya Malezi Bw. Chris Maduhu, amesema kuna mabadiliko yanayojitokeza kila wakati kwa walezi wasiokua na sifa na wanazidi kuhakikisha wanaweka mazingira rafiki ya uwasilishaji taarifa ili waweze kuwafikia watoa huduma wote ambao hawana elimu stahiki ya malezi.

“Mafunzo ya awamu ya kwanza yaliwafikia walezi 80 mwaka 2019, 124 kwa mwaka 2021 na 155 mwaka huu 2023, mafunzo haya yameenda kuwa chachu ya kujenga mahusiano mazuri kati ya watoa huduma na maafisa na kuongeza usajili wa vituo kwa kuelewa na kuzingatia Sheria ya Mtoto namba 21 ya mwaka 2009”

Kwa upande wake Mwakilishi kutoka Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Tito Lulandala amesema ni wakati wa wazazi na wanajamii kusema na watoto juu ya hatari zilizopo huko nje sio kwa kuwazidishia adhabu bali kwa kuwaambia hatari wanazoweza kukutana nazo.

“Sisi jukumu letu kubwa ni kusimamia maadili kwa misingi ya utamaduni wa Mtanzania, mojawapo wa jambo tunalofanya ni kuhamasisha wadau wa makuzi na malezi ya watoto kufanya malezi bora yanayozingatia maadili ya msingi wa utamaduni wa mtanzania kwa kuzingatia Sheria zote na nyenzo zote za kisera na mwongozo wa malezi ambao umetolewa kwa waraka wa elimu namba 6 mwaka 2020” amesema Lulandala.

Naye Wakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Matibu Salum, akiwaapisha wahitimu hao amewataka walimu kutoa ushirikiano pale wanapoona wamiliki wa vituo ama wenzao wanafanya vitendo vya uvunjifu wa haki ya Mtoto kwani kufanya hivyo ni kosa na sheria haitasita kuchukua mkondo wake.

About the author

Alex Sonna