Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI ATETA NA WAWEKEZAJI KIWANDA CHA UCHAKATAJI SAMAKI (FUNGUREFU)

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (wa pili kulia) leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor