Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA CHA AZERBAIJAN

Written by mzalendoeditor

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa  kituo cha pamoja cha  kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa  kituo cha pamoja cha  kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

About the author

mzalendoeditor