Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA CHAMA CHA MAZOEZI YA VIUNGO ZANZIBAR (ZABESA)

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Chama cha mazoezi ya Viungo   Zanzibar (ZABESA) ulioongozwa na Mwenyekiti Ndg,Said Suleiman Said (wa tatu kushoto)  wakati Uongozi  huo ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu]  02/03/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea taarifa ya Chama cha Mchezo wa mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) kutoka kwa Mwenyekiti  Ndg.Said Suleiman Said wakati Uongozi wa Chama hicho ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu]  02/03/2023. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Uongozi wa Chama cha mazoezi ya Viungo   Zanzibar (ZABESA) ulioongozwa na Mwenyekiti Ndg,Said Suleiman Said (hawapo pichani) wakati Uongozi  huo ulipofika Ikuu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu]  02/03/2023.

About the author

mzalendoeditor