slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

health and beauty

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

pusulabet

matbet

vdcasino giriş

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: BUNGE LITAMBUE MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson, akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu Kusini Unguja Zanzibar

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar Februari 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Kamati za Kudumu za Bunge watambue mchango wa Asasi za kiraia katika kazi zao kwa kuwa zina changia maendeleo Taifa.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Februari 28, 2023) alipofungua mafunzo ya kamati ya uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja Zanzibar

“Sote tunafahamu mchango wa asasi za kiraia nazo pia lazima tuzifahamu, tunazo asasi za kiraia ambazo tumeweka mikataba nayo, ni muhimu kulizingatia, uwezo wa Serikali pekee hautoshi, Bunge mtapata fursa ya kukutana nazo kwenye kamati zenu, lazima mtambue mchango wake na uwe na maslahi kwa Taifa”

Amesema kuwa ni muhimu kamati hizo kuhakikisha asasi hizo zinatekeleza majukumu ya kimsingi ambayo wamekubaliana na Serikali kwa maslahi ya jamii yetu na si kubeba ajenda ambazo hazina maslahi kwa jamii yetu.

“Ni muhimu sana viongozi wenzangu mkazingatia yale mambo ambayo yanavunja maadili, miiko, mila na utamaduni wetu, sisi wabunge ukiwa kwenye kamati yako ukiona moja ya asasi inaenda kinyume na yale tuliyokubaliana msiache kuyaleta mezani, malengo ya kamati hii ya uongozi ni kuishauri Serikali kuendesha nchi katika kukuza maslahi yetu kimaendeleo na maadili tuliyonayo”

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa mafunzo hayo yatatoa fursa kwa Wajumbe kukaa pamoja na kukumbushana masuala mbalimbali, kujadili mafanikio na changamoto pamoja na kuweka mikakati ya kiuendeshaji na utendaji wa Kamati za Bunge na Bunge kwa ujumla.

“Ni matumaini yangu kwamba wajumbe na washiriki wa mkutano huu watatumia vizuri fursa hii ya kuwa hapa pamoja kujifunza, kujadili na kubadilishana uzoefu kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, usimamizi na uendeshaji wa shughuli za Bunge. ”

Waziri Mkuu amesema kuwa ni muhimu viongozi hao wakatambua wajibu wa Bunge la Tanzania katika mapambano dhidi ya rushwa kwani rushwa ni adui wa haki, ni kikwazo cha maendeleo, inaathiri mifumo yote ya mahusiano na jamii yetu. “Sisi kama viongozi lazima tuwe kioo kuhakikisha kila kinachopatikana lazima kiende  mahali panapotakiwa kifike. ”

Amesema kuwa baada ya mafunzo hayo anaamini viongozi hao watazingatia kikamilifu mipaka yao ya madaraka na utendaji kazi wa Kamati za Bunge na kwamba hatua watakazozichukua katika uongozi na utendaji wao utazingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo.

Kwa upande wake, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu uongozi wa kimkakati. “Mheshimiwa Waziri Mkuu pia tumepata nafasi ya kukumbushana na majukumu yetu ikiwemo kuhakikisha kila mmoja anakuwa na malengo ambayo ni muhimu kuyafikia na kujiwekea mikakati ya kuyafikia.”

About the author

Alex Sonna