Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

NAIBU WAZIRI KHAMIS AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis akipanda mti katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) kilichopo Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Soma na Mti” iliyofanyika chuoni hapo jana.

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza, Amina Makilagi akipanda mti katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) kilichopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Soma na Mti” iliyofanyika chuoni jana.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis na Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, Amina Makilagi wakishuhudia wanafunzi kutoka shule ya Awali ya Excelency Academy English Medium ya Nyamagana wakishiriki katika zoezi la upandaji miti katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) .

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) jijini Mwanza mara baada ya kushiriki zoezi la upandaji miti wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Soma na Mti” iliyozinduliwa.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis akipata maelezo kuhusu matumizi ya majiko rafiki katika uhifadhi wa mazingira kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Jiko Janja, Wilson Atukuzwe mara baada ya uzinduzi wa Kampeni ya “Soma na Mti” iliyozinduliwa katika Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) jijini Mwanza.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa wizara na taasisi katika sekta za umma na binafsi kutumia nishati mbadala ili kupunguza ukataji wa miti kwa ajili ya matumizi ya kuni na mkaa.

Mhe. Khamis amesema hayo Februari 25, 2023 wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Soma na Mti’ katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino jijini Mwanza ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha upandaji miti na utunzaji wa mazingira katika taasisi za elimu ya juu nchini.

Amesema zoezi la upandaji katika maeneo mbalimbali nchini ni ajenda ya kitaifa
inayoongozwa na viongozi wa kitaifa akiwemo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mhe.Dkt Philip Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na hivyo kuzitaka taasisi za umma na binafsi kuunga mkono juhudi hizo.
“Tupo hapa kutekeleza mpango wa Serikali juu ya utunzaji wa mazingira ikiwa ni muendelezo wa juhudi zilizoanzishwa na viongozi wetu wakuu wa kitaifa.

Nitoe rai kwa viongozi wa ngazi zote kuhakikisha tunasimamia maelekezo ya Serikali ya kuzuia ukataji miti, tuanze kutumia nishati mbadala kama gesi kwa ajili ya kupikia kama anavyosisitiza Rais wetu,” amesema Mhe. Khamis

Aidha naibu waziri huyo ametoa maagizo kwa wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wanasimamia na kuendeleza kampeni hiyo kwa kuhakikisha kila shule na kila mwanafunzi anakuwa na mti wake na kuhimiza utamaduni wa kila Kaya kupanda miti na kila mtu anayenunua eneo kuhakikisha amepanda miti katika eneo lake.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mhe. Amina Makilagi amesema suala mazingira ni moja ya kipaumbele vya msingi kinachotekelezwa na taasisi zote za umma na binafsi zilizopo katika Wilaya hiyo na kukusudia kulifanya Jiji la Mwanza kuendelea kuwa Jiji la kijani.

“Katika Wilaya ya Nyamagana kila mradi unaotekelezwa unafungamanishwa na
mazingira na kila tukio tunapanda miti na hivi karibuni taasisi zetu za TFS, Gereza la Butimba na wadau wengine tulipanda zaidi ya miti 7000 katika vyanzo mbalimbali vya maji ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais,” amesisitiza Makilagi.

Ameongeza kuwa kupitia kampeni ya “Soma na Mti” wilaya hiyo imejipanga kimkakati katika kuhakikisha kuwa inafikia lengo la kupanda miti 1,500,000 kwa kushirikisha shule za msingi, sekondari na taasisi za elimu ya juu na kuhakikisha inarejesha hadhi ya Jiji la Mwanza kuwa kinara wa usafi wa mazingira nchini.

Naye Balozi wa Mazingira Nestory Mushi amesema kupitia taasisi yake ya Mweka Site wamefanikiwa kuotesha miti zaidi ya 358,000 na miti hiyo inatarajia kupandwa katika Mikoa yote inayokabiliwa na hali ya ukame. 

Taasisi yetu inahamisha jamii katika shughuli zote za usafi wa mazingira ikiwemo upandaji miti na usafi wa fukwe mbalimbali. Tunafundisha wanafunzi wa ngazi mbalimbali ikiwemo shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu kuhusu vitalu vya miti, miradi ya samaki na utunzaji mazingira” amesema Mushi.

Mwakilishi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Alex Julius amesema katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuhamasisha utunzaji wa mazingira ikiwemo upandaji, TFS imeanzisha kitalu cha miti ya matunda na vivuli ambapo kati ya Julai 2022 hadi Februari 2023, TFS imefanikiwa kuzalisha miche ya miti 67,310.

Wakati wa kuzalisha miche hii tunazingatia masuala mbalimbali ikiwemo miche
inayokuwa haraka, miche inayohifandhi maji, miche inayozuia mmomonyoko wa
udongo na kuanzia mwezi Julai 2022 hadi Februari 2023 miche ya miti 32,970
imegawiwa bure katika taasisi mbalimbali” amesema Julius.

Kampeni ya “Soma na Mti” ilizindiliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais mwaka 2022 ikiwa imelenga kuhamasisha wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu kuona zoezi la upandaji miti kuwa sehemu muhimu ya maisha ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.

About the author

Alex Sonna