Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

WAZIRI UMMY:WAZAZI PELEKENI WATOTO WAPATE CHANJO YA SURUA

Written by Alex Sonna

Na. Majid Abdulkarim, Mpimbwe–Katavi

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeelekeza wazazi na walezi Mkoani  Katavi kupeleka watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano  kupata chanjo ya kujikinga na ugonjwa wa surua.

Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu  leo akiwa katika ziara ya  kikazi ya kukagua  hali ya  utoaji wa huduma za afya na kuzindua kampeni ya kuongeza kasi na hamasa ya chanjo ya Surua kwa Halmashauri ya Mpimbwe Wilayani Mlele mkoa wa Katavi.

Amesema kuwa anayo mamlaka ya kisheria chini  ya Sheria ya Afya ya Jamii kuamua chanjo za watoto za kuwakinga na Surua si hiari ni lazima,  hivyo amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa kuwachukulia hatua wazazi na walezi wote ambao watashindwa kuhakikisha  watoto wao wanapata chanjo ya Surua.

 “Hatuwezi kukubali kama Serikali kuona watoto wanapoteza maisha wakati tuna uwezo wa kuwakinga kwa kuwapatia chanjo ya surua mapema” amesisitiza Mhe.Ummy.

Mhe. Ummy amebainisha kuwa kuna  watoto zaidi ya 400,000 nchini ambao hawajapata chanjo ya  ugonjwa wa Surua na vifo vilivyoripotiwa hadi sasa ni vifo 13 kati ya hivyo vifo 11 vimetokea kwenye jamii, vifo 2 hospitalini na hivyo ni kutokana na wagonjwa kuchelewa kufika katika vituo vya kutolea huduma za afya.

“Kwa hiyo leo tupo hapa Majimoto Mpimbwe kuwaunga mkono wana Mpimbwe na wana Majimoto ili tuishinde Surua lazima watoto wote chini ya umri wa miaka mitano wakamilishe dozi ya chanjo ya surua”, amesema Mhe. Ummy

Hata hivyo ameongeza kuwa  kila  watoto 100  wenye Surua katika Halmashauri ya Mpimbwe, watoto 40 wanatoka  kata ya Maji Moto.

Pia katika ziara yake Mhe. Ummy amezindua msafara wa bodaboda/pikipiki na magari kumi ya kutoa elimu na hamasa ya chanjo kwa  wananchi wa Mpimbwe ili kupata uelewa wa  kupeleka watoto kupata chanjo ya surua mapema.

Pia amesema magari mengine matano yatapelekwa Halmashauri ya Mlele na magari matano yatapelekwa Halmashauri ya Tanganyika.

Ameeleza kuwa watafanya zoezi la nyumba kwa nyumba kuhakikisha kila mtoto mwenye umri wa chini ya miaka mitano anapata chanjo hivyo wasioneane aibu kwa magonjwa yanayowapoteza watoto.

Mhe. Ummy ameeleza kuwa Surua inaweza kukingwa kwa kutumia chanjo, lakini hata mtoto aliyepata chanjo akipata Surua haitakuwa kali tofauti na yule ambaye hakupata kabisa vilevile na Uviko-19 ndio maana hatuna mgonjwa hata mmoja ICU kwa sasa.

Vile vile ameongeza kuwa kinga ni bora kuliko tiba  hivyo ametoa wito kwa viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kuwahimiza  waumini wao kuwapeleka watoto kupata chanjo ya Surua ya chanjo.

Waziri Ummy amesema hata vitabu vitakatifu vya dini vinazungumzia jinsi mwanadamu alivyopewa akili, maarifa na maono hivyo hata chanjo ya Surua ni maarifa katika kujikinga na maradhi hayo.

Aidha Waziri Ummy amewataka Waganga wa Tiba Asili nao kuhimiza chanjo ya Surua na pia kuhimiza wateja wao wenye dalili za ugonjwa wa huo kwenda kwenye Vituo vya kutoa huduma za Afya

Lakini pia amewataka Maafisa afya wote wa halmashari nchini kupita katika maeneo yote na yanayotoa huduma za kijamii kuwa na maeneo ya kunawia mikono kwa maji tiririka na sabuni.

About the author

Alex Sonna