Featured Kimataifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA DKT.ABIY AHMED, ADDIS ABABA, ETHIOPIA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Dkt. Abiy Ahmed katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023

About the author

mzalendoeditor