Featured Kitaifa

MIMBA ZANGU ZILIKUWA ZINAHARIBIKA ILA BAADA YA DAWA HII NIMEPATA MTOTO

Written by mzalendoeditor
Kuna wakati nawatazama watoto wangu na kujikuta machozi yakinitoka, si machozi ya uchungu bali machozi ya furaha, ni kitu ambacho kila siku nashukuru maana naona kwangu ni zaidi ya miujiza.  
Uchungu wa mwana aujuaye mzazi, basi mimi nahisi uchungu huo naujua mimi kuliko mwanamke yeyote yule, naona kama nimepitia changamoto sana katika uzazi wangu. 
Nilipobeba ujauzito wangu wa kwanza, mimba iliharibika baada ya miezi mitatu, Madaktari waliniambia ni jambo la kawaida huwa linawatokea wanawake wengi.
Nilishauriwa kupumzika kwa muda kabla ya kuamua kubeba ujauzito mwingine kwa ajili ya kulinada afya yangu. 
Basi nilipumzika na baada ya zaidi ya mwaka mmoja nilibeba ujauzito mwingine nikiwa na matumaini ya kuitwa mama, lakini nao ulitoka baada ya miezi saba. 
Nilihuzunika sana maana ilikuwa imesalia miezi miwili niweze kujifungua lakini haikuwa hivyo, Madaktari walinifanyia uchunguzi wakaniambia sina tatizo lolote.
Haukupita muda, nilikuja kubeba ujauzito mwingine, huu nao ndio uliharibika mapema zaidi, ukiwa ni miezi mitatu tu nao ulitoka, nilikuwa nikimtazama mume wangu napata mawazo zaidi na kuhisi anaweza kuniacha na kwenda kuzaa na mwanamke mwingine nje. 
Hatimaye nikabeba tena ujauzito mwingine ambao nilikuwa na wasiwasi mwingi, huu ulikaa miezi sita nao ukawa umeharibika, nilikuwa na msongo wa mawazo hadi nikaamua kuacha kazi ili kujipa mapumziko. 
Kuna siku wifi yangu ambaye ameolewa huko Mombasa alikuja kunitembelea nyumbani, nilimuueleza kuhusu hali yangu, alinipa pole sana na kuniambia kuwa “African Doctors”  wanaweza kunisaidia na kupata usaidizi wa tatizo langu. 
Alinipatia namba zao; +254719153099, niliwapigia na waliweza kunitumia dawa ambayo ndio imenipatia watoto nilionao. Baada ya kutumia dawa niliweza kubeba ujauzito mwingine ambao ulikuwa ni watano.  Hata hivyo, nlikuwa na uwoga mwingi na mashaka sana lakini nashukuru nilijifungua salama. 

About the author

mzalendoeditor