marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

casibom

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

hitbet

tipobet giriş

betist

Featured Kitaifa

SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA YATAKIWA KUTUMIA MBINU ZA KISASA ZA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO DHIDI YA VIONGOZI

Written by Alex Sonna

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imetakiwa kutumia mbinu za kisasa za uchunguzi ikiwa ni pamoja na kuanzisha programu za utafiti, kuchunguza na kutoa elimu ya uadilifu kwa umma ili kupunguza mmomonyoko wa maadili nchini.

Wito huo umetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) wakati wa ziara yake ya kikazi katika ofisi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Makao Makuu jijini Dodoma tarehe 26 Novemba, 2025 ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea Taasisi hiyo tangu alipoteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kuongoza wizara hiyo.

Katika ziara hiyo, Mhe. Waziri aliambatana na Naibu Waziri Mhe. Regina Qwaray (Mb).

“Shirikianeni na Taasisi nyingine za Utawala Bora nchini kufanya utafiti wa hali ya maadili nchini na kutoa elimu ya uzalendo kuhusu Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ili kupunguza mmomonyoko wa maadili, “ amesema.

Aidha Mhe. Kikwete ameiagiza Sekretarieti ya Maadili kutowaonea aibu Viongozi wa Umma wanaolalamikiwa kukiuka maadili kwa sababu ni jukumu lake kufuatilia tabia na mienendo ya Viongozi nchini.

“Sekretarieti ya Maadili ni msumeno wenye ncha kali, utumieni kuongeza uadilifu nchini kwa kutafuta ushahidi wa ukiukaji wa maadili miongoni mwa Viongozi wa Umma, waiteni wanaokiuka maadili na wakemeeni wanaobainika kukiuka misingi ya maadili kwasababu hili liko katika mamlaka yenu,” amesema Mhe. Kikwete.

“Mmesema hapa kuwa kuna baadhi ya viongozi wana hofu ya kujaza Tamko kwa njia ya Mtandao, hili sio tatizo la Serikali, mmesha weka mifumo ya kupokea Tamko la Rasilimali na Madeni hakikisheni Viongozi wote wanajaza ifikapo tarehe 31 Desemba kwa mujibu wa sheria,” amesisitiza.

Mhe. Kikwete ameongeza kuwa Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma ni chombo imara na kinaaminika hivyo kinatakiwa kufanya kazi kwa kutenda haki kinapotekeleza majukumu yake ya kimsingi katika kusimamia na kukuza maadili kwa Viongozi wa Umma nchini.
“Hivi karibuni, Serikali na viongozi wamechafuka, Sekretarieti ya Maadili mnalo jambo la kufanya, msiwaogope viongozi kuwawajibisha pale wanapokiuka maadili,” alisisitiza Mhe Kikwete.

Awali akimkaribisha Waziri Kamishna wa Maadili Mhe. Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi ameeleza kuwa Sekretarieti ya Maadili katika kutekeleza majukumu yake, inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo kukosekana kwa ushahidi wa baadhi ya malalamiko ya ukiukwaji wa maadili kwa baadhi ya Viongozi kutokana na baadhi ya mashahidi kutotaka kutoa ushahidi mbele ya Baraza la Maadili.

Katika hatua nyingine, Mhe Mwangesi ameeleza kuwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma inatarajia kuanzisha ofisi za Mikoa ili kusogeza huduma kwa Viongozi wa Umma na wananchi hasa utoaji wa elimu ya Mgongano wa Maslahi.

About the author

Alex Sonna