Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

VYUO VIKUU VYASHAURIWA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI MASUALA YA KIJINSIA

Written by Alex Sonna

Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Prof.Stephen Maluka,akizungumza wakati wa   uzinduzi wa Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

Naibu Rasi ,Taaluma,Utafiti na Ushauri elekezi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Dkt.Christina Raphael,akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

Wadau mbalimbali wa Tafiti kwenye masuala ya Jinsia wakifatilia hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Prof.Stephen Maluka akiwa pamoja na Mwakilishi wa Ubalozi Irish Bi.Mags Gaynar akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Prof.Stephen Maluka,akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa utafiti masuala ya kijinsia mara baada ya kuzindua Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Prof.Stephen Maluka,akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa utafiti masuala ya kijinsia mara baada ya kuzindua Kituo cha Utafiti Masula ya Kijinsia hafla iliyofanyika leo Januari 19,2023  jijini Dar Es Salaam.

PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO

……………………

Na Emmanuel Mbatilo-DAR ES SALAAM

CHUO Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kimezindua Kituo cha Utafiti Masuala ya Kijinsia kwa Ufadhiri wa Ubalozi wa Irish kitakuwa na kazi ya kufundisha masuala ya kijinsiana na masuala ya tafiti za kijinsia pamoja na kufanya ushauri kwa mambo mbalimbali yanayohusu masuala ya kijinsia.

Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika leo Januari 19,2023 DUCE Jijini Dar es Salaam, Rasi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE),Prof.Stephen Maluka amesema Kituo hicho kinaenda kuwa sehemu ya tafiti mbalimbali za kijinsia zinakwenda kuratibiwa na na kinaenda kujenga uwezo wa watafiti mbalimbali nchini.

“Kituo hiki kinaenda kutoa uwezo wa namna ambavyo hata Serikali na mashirika mengine yanaweza kwenda kuangalia namna wanvyoweza kuyaingiza masuala ya usawa wa kijinsia kwenye mipango yao, sera zao na hata kwenye mambo mbalimbali ili kuweza kuhakikisha kwamba kila tunachokifanya tunaweka usawa wa kijinsia mbele”. Amesema

Amesema wanafunzi watakuwa ni sehemu ya kituo hiki kwani wataanza kujengewa uwezo kuhusiana na namna ambavyo wanaweza kufanya utafiti kuhusiana na masuala ya kijinsia lakini pia Vyuo Vikuu huwa wanawashirikisha wanafunzi katika kufanya tafiti hivyo watawahimiza wanafunzi kufanya tafiti zinazohusiana na masualaya kijinsia.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bw.Yohana Sekimweli ameshauri vyuo vingine kuona Chuo cha DUCE kama mfano kuanzisha vituo vya utafiti kwenye masuala ya kijinsia ili kuweza kulikomboa taifa linafikia kwenye usawa wa kijinsia wa hamsini kwa hamsini.

Amesema mpaka kumekuwa na uwanzilishwaji wa madawati ya kijinsia kwenye maeneo mbalimbali hivyo basi kuanzishwa kwa vituo kama hivi vitasaidia kupunguza mauala ya unyanyasaji wa kijinsia kwenye taifa letu na baadae kuweza kuondokana na masuala kama haya.

Nae Mratibu wa Kituo cha Utafiti Masuala ya Kijinsia DUCE Dkt.Cresencia Massawe amesema kundi la walimu ni muhimu katika kufikisha uelewa wa masuala ya kijinsia na kueleta mabadiliko makubwa endapo wakiivishwa kwenye masuala ya kijinsia .

About the author

Alex Sonna