Featured Michezo

GEITA GOLD WA MOTO KATIKA UWANJA WA NYANKUMBU,WAICHAPA DODOMA JIJI

Written by mzalendoeditor

TIMU ya  Geita Gold  FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliopigwa 

Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita.
Mabao ya wenyeji yamefungwa na Amos Kadikilo dakika ya 45  na Edmund John dakika ya 75.
Kwa ushindi huo Geita Gold inafikisha pointi 27 na kusogea nafasi y tano, wakati Dodoma Jiji FC inabaki na pointi zake 21 nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 20.

About the author

mzalendoeditor