Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

MABADILIKO SERIKALINI YAJA

Written by Alex Sonna

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho wakati akifunga mkutano huo uliofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma

RAIS Mstaafu,Jakaya Kikwete,akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho uliofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho uliofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma

……………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi CCM) Taifa,Dkt.Rais Samia Suluhu Hassan,ametoa ahadi ya kuipanga upya Serikali ili kuendeleza Maendeleo ya nchini.

Rais Samia  ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho wakati akifunga mkutano huo uliofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.

Rais Samia amesema lengo la kufanya hivyo ni baada ya kubaini uwepo wa watu wasioendana na kasi yake.

Amesema baada ya kukamilisha kukipanga chama sasa anaelekea kuifumua serikali kwa kuwa kuna viongozi ambao hawaendani na kasi yake.

 “Tumepanga safu nzuri naomba baraka zenu nikapange serikali kwa namna ambayo nitaona timu hii inaweza kwenda kutekeleza yale mliyoyasema hapa kwa vizuri.”

“Yaliyoelezwa hapa ni utekelezaji wa miaka miwili lakini katika safari yangu ya miaka miwili nahisi kabisa nina watu ambao mwendo wao hauendani na kasi yangu, tuna safari ya miaka mitatu mbele kabla hatujaenda kuwajibishwa kwa wananchi kwa hiyo miaka mitatu iliyobaki nataka serikali zote mbili zifanye kazi tutakapokwenda kwa wananchi twende tukasimame, tuwe nay a kuwaambia.”

“Tunapokwenda kwa wananchi ni wananchi wenyewe ndio wanaosema serikali iliyofanya kwao na si utamaduni wa nyuma wa serikali kuwaambia, wakati mwingine wanashangaa hiki kimefanyika wapi,”ameeleza

Aidha Rais Samia amesema kuna vijinongwa ndani ya chama vinaendelezwa na kwamba kwa mwana CCM ambaye anakijua chama na mwelekeo wa CCM “Kwa wana CCM waliotokana na chama cha mapinduzi hawawezi kufanya nongwa kuharibu chama chao lakini kuna wana CCM walioshika nyadhifa tofauti tofauti wakapitia CCM hawa wanaweza kutuharibia chama, hivyo nina toa wito kwa wanachama kuzingatia ukweli huo na tushirikiane,”amesema.

Amefafanua  kuwa “Tukumbuke kushindwa kujipanga tunajipanga kushindwa, Tujipange kushinda, tunafahamu siku zote mtu anaaminiwa kwa uungwana wake, na ni kutekeleza ahadi zetu kwao.”

Hata hivyo amewaagiza watendaji wa Zanzibar na Tanzania bara washirikiane kujijenga Tanzania kwa kuheshimiana na kuzingatia mipaka ya madaraka yao.

Kwa upande wake Rais  Mstaafu,Jakaya Kikwete  amesema tabia ya uongo ndio inayogawa Chama cha Mapinduzi (CCM), bila sababu na kuwatengenezea viongozi msongo wa mawazo(stress) badala ya kukusanya nguvu kujenga chama.

“Mimi sina kura ila ni mzee maarufu ndani ya chama, kwanza naeleza imani hiyo na mimi naamini hivyo, Rais usikilize porojo za watu kwamba kuna kijana gani atagombea na mzee gani atagombea ni upuuzi tupu.”amesema

Aidha amesema kuwa hawazui lakini haoni  mwanaCCM mwaka 2025 atakayechukua fomu labda mambo yaharibike sana kati ya sasa na wakati huo, lakini haamini hivyo, si mila yetu lakini niseme ukweli tu hapa Tanzania leo kuna mwasiasa maarufu kumshinda Samia hayupo ndani ya chama hichi hayupo nje ya chama hiki.”

About the author

Alex Sonna