Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

NDEJEMBI: WAAJIRI AJIRINI WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WENYE SIFA STAHIKI.

Written by Alex Sonna
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora Deogratius Ndejembi, akifungua kongamano la 13 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi lililofanyika mkoani Arusha.
MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) Godfrey Mbanyi  akiongea katika kongamano la 13 la mwaka la wataalamu wa ununuzi na ugavi.
BAADHI ya wataalamu wa ununuzi na ugavi wakifuatilia jambo katika kongamano lao la 13 la mwaka linaloendelea mkoani Arusha.
………………………………..
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA.
Naibu waziri wa Ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi na utawala bora Deogratius Ndejembi amewataka waajiri wote nchini kuajiri wataalamu wa ununuzi na Ugavi wenye sifa ili kuepusha  mzigo wa lawama kwa baadhi yao pindi miradi inapokwama.
Ndejembi alitoa Rai katika kongamano la 13 la mwaka  la wataalamu wa ununuzi na ugavi lililofanyikia jijini Arusha ambapo  alisema kuwa  ili kuepusha hilo ni vyema waajiri wote wakahakikisha wanaweka  watu wenye sifa kusimamia idara za ununuzi na ugavi.
“Na panapotokea mwajiriwa kakosa sifa wasisite kuwapeleka shule ili kuweza kujiendeleza wakiwaombea categorization na sisi tutajitahidi kuzifanyia kazi ikiwa lengo ni kupata watu wenye sifa katika sekta hii,”alisema Naibu Ndejembi
Aidha aliitaka bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi kuendelea kuchukua hatua kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanununi zilizopo kwa wataalamu wanao kiuka miiko ya taaluma yao ili kuhakikisha wataaalamu hao wanafanya kazi kwa weledi na ujuzi kwani wanamchango mkubwa katika kukuza uchumi wa nchi.
“Ili kuleta tija kwenye utendaji wa miradi serikali lazima ijielekeze katika kufanya ununuzi wa kimkakati kwa kuzingatia ukubwa wa ununuzi na uwiano mfananao wa bidhaa na huduma zinazotumika serikalini ambapo ni imani yangu kwenu kupitia mada na majadiliano mbalimbali zitakazowasilishwa kuhusu ununuzi wa kimkakati zitawajengea uwezo na ufanisi katika katika kutekeleza miradi,”Alieleza.
 Alifafanua kuwa serikali ina matumaini makubwa na wataalamu wa ununuzi na ugavi katika kufikia malengo ya mipango ya maendeleo ya taifa ya miaka mitano ambapo anategemea maadhimio ya kongamano hilo yatapelekea kupunguza matatizo yanayotokea katika ununuzi na ugavi.
Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi (PSPTB) Godfrey Mbanyi alisema kuwa mwaka 2022 wameweza kusajili wataalamu 1995  na kupeleka idadi ya wataalamu kuwa 15309 ambapo wataendelea kuchua hatua madhubuti kwa wataalamu wanaofanya kazi bila kisajiliwa.
“Bodi ipo katika hatua za awali za kuchukua hatua za kinidhamu ambapo imekusudia kuwaita wataalamu 63 ili waweze kutoa maelezo na hatua mbalimbali ziweze kuchukuliwa pamoja na kuchukua hatua za karipio kwa wataalamu 78 ambao wamebainika kufanya kazi chini ya weledi na maelekezo ya kitaaluma,” Alisema Mbanyi.
Aidha alieleza kuwa lengo la kongamano hilo ni kuwaleta na kuwakutanisha pamoja wataalamu wa ununuzi na ugavi ili kujadili fursa na changamoto ambapo ameahidi wataendelea kufanya kazi kwa weledi ili kupeleka taaluma hiyo katika kiwango kinachohitajika na serikali ya awamu ya sita.
Naye mwenyekiti wa bodi hiyo Jacob Kibona alisema kuwa bodi imepewa jukumu la kisheria la kusimamia Wataalamu wa ununuzi na ugavi hii ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kwamba nchi yetu inakuwa na wataalamu wa kutosha wenye sofa stahiki na kufuatilia utendaji wao.
Alisema mara nyingi inapotokea changamoto kwenye miradi  bila kujali muhisika alihusika katika kusimamia kutekeleza hatua hiyo maafisa ugavi ma ununuzi ndio pekee wanaoshitumiwa ambapo kufanikiwa kwa miradi kunategemea weledi wa ununuzi na ugavi ambo bodi hiyo inawasimamia na kuwalea kitaaluma  hivyo hatua za kinidhamu ziweze kuchukuliwa kwa watu wote wa kada mbalimbali wanaohisika katika mradi huo.
Hata hivyo mkutano huo umeenda sambamba na kauli mbiu isemayo “fursa na changamoto katika kutekeleza ukuaji endelevu wa uchumi na maendeleo ya jamii”.

About the author

Alex Sonna