Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA RAIS SAMIA AKAGUA MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 10 WA UNAOTARAJIA KUFANYIKA JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Viongozi wengine wa Chama mara baada ya kuwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuangalia na kukagua maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 10 wa CCM unaotarajiwa kufanyika tarehe 07-08 Desemba, 2022

      

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua maandalizi mbalimbali ya Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho tarehe 07-08 Desemba, 2022 katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

About the author

mzalendoeditor