Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisafiri kwa Kivuko cha Mv Musoma kutoka Kisorya -Bunda mkoani Mara kuelekea Nansio Ukerewe kwaajili ya Ziara ya Kikazi Wilayani hum
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili Wilayani Ukerewe mkoani Mwanza kwaajili ya Ziara ya Kikazi Wilayani humo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili nyumbani kwa Spika wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Pius Msekwa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza kwa lengo la kumjulia hali
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Picha ya pamoja na Spika wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Pius Msekwa na mkewe Mama Anna Abdallah alipowatembelea nyumbani kwao Ukerewe mkoani Mwanza kwa lengo la kuwajulia hali leo tarehe 25 Novemba 2022.