Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA SOMALI NCHINI TANZANIA MHE.ZAHRA ALI HASSAN IKULU ZANZIBAR.

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania.Mhe.Zahra Ali Hassan,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2022,alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)  

About the author

mzalendoeditor