Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

millibahis giriş

betlivo

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking giriş

meritking

meritking

mavibet giriş

meritking telegram

marsbahis giriş

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

marsbahis

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

betpas

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

vaycasino giriş

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

bodrum escort

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

pusulabet

holiganbet

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat

marsbahis, marsbahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

jojobet

sekabet güncel giriş

casinoroyal

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA ELIMU YA FEDHA

Written by Alex Sonna

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamwaja (katikati) akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Idara hiyo, Bi. Dionisia Mjema na Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha kutoka wizara hiyo, Bw. Salim Kimaro, wakati akitembela baadhi ya mabanda katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Charles Mwamwaja akizungumza na maafisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) alipotembelea banda lao katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akitoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa Mwanza walioshiriki katika darasa la masuala ya huduma za fedha katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Janeth Hiza, akitoa elimu kuhusu Sera, Sheria na Kanuni za huduma za fedha kwa baadhi ya wananchi waliotembelea maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Baadhi ya wananchi wakiwa katika darasa la huduma za fedha katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.

Darasa likiendelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.

Mwananchi wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Ayoub Naftari, akielezea namna alivyonufaika na elimu inayotolewa katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Afisa Tehama kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Maendaenda akimuelekeza Bw. Elisha Paul, namna ya kufanya malipo mbalimbali kwa kutumia Mfumo wa GePG katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – WFM, Mwanza)

…………………………

Na. Farida Ramadhani, WFM- Mwanza

Wananchi wa Mkoa wa Mwanza wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kwa kuwapa elimu ya fedha ambayo itawawezesha kutumia huduma za fedha zilizo sahihi kwa maendeleo yao na Taifa kwa ujumla.

Wameeleza hayo jijini Mwanza baada ya kupata mafunzo mbalimbali yanayohusu masuala ya fedha walipotembelea maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa yanayoendelea katika viwanja vya Rock City Mall jijini humo.

Wakielezea maadhimisho hayo walisema yamewapatia elimu muhimu pamoja na miongozo mbalimbali ambayo wataendelea kuitumia na kutoa elimu kwa watu wengine wakiwemo familia zao hususani katika kuandaa bajeti za familia pamoja na namna bora ya usimamizi wa mapato ya familia.  

Bw. Ayoub Naftari ni miongoni mwa wananchi waliopata mafunzo hayo ambaye alisema elimu waliyoipata itawezesha kuwa na nidhamu ya matumizi fedha ikiwa ni pamoja na kupunguza matumizi yasiyokuwa ya lazima ili kufikia malengo waliyojiwekea.

“Elimu hii itatuwezesha kuanzisha miradi mbalimbali na kupata mikopo kwa ajili ya kukuza na kuendeleza miradi hiyo na kuchangia katika kupunguza umaskini na kukuza uchumi wa nchi kutokana na nidhamu ya matumizi ya fedha”, alisema Bw. Naftari.

Aidha, alitoa wito kwa wananchi wengine wa mkoa huo na mikoa ya jirani kutembelea maadhimisho hayo yaliyoanza Novemba 21 na kuendelea hadi Novemba 26, 2022 ili waweze kunufaika na elimu pamoja na huduma zinazotolewa.

Naye Bi. Celestina Makala alisema maadhimisho hayo yamemuwezesha kupata huduma katika taasisi mbalimbali za fedha, Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo (SACCOS), wajasirimali mbalimbali pamoja na kufahamu fursa mbalimbali zinazotolewa na Sekta ya Fedha katika kukuza na kuimarisha biashara.

Alisema elimu waliyoipata katika maadhimisho hayo imewawezesha kuelewa haki na wajibu wao katika matumizi ya huduma za fedha pamoja na kupata uelewa wa namna ya kujiwekea akiba, kukopa, umuhimu wa bima, uwekezaji na namna bora ya kujiandaa kabla ya kustaafu.

“Tunaipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa Sekta ya Fedha nchini na nafurahi zaidi kuona vitabu ambayo vitasidia wananchi kupata elimu ya masuala ya fedha na kuwahamasisha kuweka akiba, hii itatujengea utamaduni mzuri ambao utasaidia kuwa na Taifa la watu wanaothamini fedha kwa maendeleo”, alibainisha.

Kwa upande wake Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, aliwataka wananchi kuwa na matumizi sahihi ya fedha ikiwa ni pamoja na kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba na kutumia huduma rasmi za fedha ili kujikwamua kiuchumi.

Aliwahamasisha wananchi kuendela kutembelea maadhimisho hayo na kujipatia maarifa na miongozo mbalimbali ambayo inalenga kuongeza maarifa katika masuala ya fedha.

About the author

Alex Sonna