Featured Kitaifa

WAZIRI BASHUNGWA ATETA NA BALOZI WA UINGEREZA

Written by mzalendoeditor

WAZIRI  wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Lugha Bashungwa leo 15 Novemba 2022. amefanya Mazungumzo na Balozi wa Uingereza Nchini Mhe. Balozi David Concar.

Mazungumzo hayo yaliyolenga kuimarisha Ushirikiano katika masuala ya Ulinzi baina ya Tanzania na Uingereza yamefanyika Ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga Jijini Dar es salaam

About the author

mzalendoeditor