Kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara wa mwezi Oktoba. Nabi alishinda mechi 3 (Ruvu Shooting 2-1, KMC 1-0, Geita Gold( 0-1) na kutoka sare dhidi ya Simba.

Previous articleSIMBA YANG’ARA KWA MKAPA LIGI YA NBC
Next articleUTALII NI NYENZO MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA – MHE. OTHMAN

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here