Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum Rose Tweve (kushoto) na Juliana Shonza (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mwibara Charles Kajege (kushoto) na Mbunge wa Katavi Isaac Kamwelwe (katikati), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)