Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI WALIONUSURIKA NA AJALI YA PRECISION AIR

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Levina Lutinda (kushoto) na Mwanaye Emmily Victor ambao wamenusurika katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Lin Zhang ambaye amenusurika katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Edwin Bitegeko ambaye amenusurika katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kuwasili mkoani Kagera, Bukoba kufuatia ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea leo Novemba 06, 2022 mjini Bukoba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor