Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

kavbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

kavbet

mavibet

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis giriş

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

casibom güncel giriş

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

jojobet giris

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

UTAMBUZI WA MIFUGO KWA HERENI ZA KIELEKTRONIKI UMESITISHWA KWA MUDA-MAJALIWA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma.

…………………………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha kwa muda wa miezi mitatu zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki wakati ikiendelea na tathmini ambayo itawezesha kutoa muongozo wa namna bora zaidi ya kutekeleza zoezi hilo.

Mheshimiwa Majaliwa amesema bei elekezi ya kuweka hereni za kielektroniki kwa mnyama mmoja ni shilingi 1,750 kwa ng’ombe na punda na shilingi 1,000 kwa mbuzi na kondoo. ’’Gharama hizi zimekuwa zikilalamikiwa na wafugaji kuwa ni kubwa tofauti na uhalisia.’’

’’Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imesikia hoja za wafugaji kuhusu mapungufu ya kanuni, usimamizi wake na utekelezaji wake na gharama kubwa za uwekaji hereni za kielektroniki na inaona kuna haja ya kufanya upya tathmini ya zoezi hilo.’’

Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Novemba 3, 2022) Bungeni jijini Dodoma wakati akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro.

Amesema kuwa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki lilipaswa kukamilika tarehe 31 Oktoba, 2022 lakini hadi kufikia tarehe hiyo idadi ya mifugo iliyotambuliwa na kusajiliwa ni 5,068,617 sawa na asilimia 11 ya lengo la kutambua mifugo 45,920,000.’’

Hata hivyo, Waziri Mkuu amesema Serikali haijasitisha malipo kwa ajili ya huduma hiyo bali wamesitisha zoezi linalolalamikiwa ili kuipa nafasi Serikali kupitia Wizara ya Mifugo kufanya tathmini ya mapungufu ya kikanuni yaliyowekwa kwa ajili ya kufanikisha zoezi hilo vizuri kwa kushirikisha wadau wa mifugo.

Amesema Serikali imefanya juhudi kubwa kuibadili sekta hiyo kwa kufungua soko la nyama katika nchi mbalimbali, kuondoa tozo kero na kuweka ruzuku kwenye dawa za kuogeshea mifugo na ujenzi wa mabwawa na malambo. ’’Natoa wito kwa wafugaji wote nchini kufuga kisasa ili kuwa na uhakika wa upatikanaji wa nyama na mazao mengine kwa ajili ya masoko na uchakataji wa ndani na nje ya nchi.’’

Pia, Mheshimiwa Majaliwa ameziagiza Wizara za Maji, Mifugo na Uvuvi na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya mifugo kuhakikisha miradi mikubwa ya maji inayotekelezwa kwenye maeneo yenye shughuli za wafugaji inafanyiwa tathimini na kupewa kipaumbele cha kutengeneza miundombinu kwa ajili ya mifugo ikiwemo maeneo ya kunyweshea badala ya kuiacha mifugo kwenda kwenye mabonde yaliyohifadhiwa.

Wakati huo huo, Waziri Mkuu ametoa maagizo matatu kwa Wizara ya Maliasili na Utalii na TANAPA katika kukabiliana na changamoto ya moto kwenye maeneo ya hifadhi ikiwemo mlima Kilimanjaro wakati inapojitokeza.

’’Hakikisheni mnaunda kitengo ndani ya TANAPA cha kukabiliana na majanga au maafa yanayotokea ndani ya hifadhi. Pia wekezeni kwenye matumizi ya teknolojia ya kisasa hususan katika tahadhari, utambuzi na uzimaji moto pamoja na kuimarisha shughuli za doria na uokoaji kwa kushirikisha jamii na wadau.’’

Kadhalika, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuboresha uwezo wa kupambana na majanga kwa kuimarisha sheria za mifumo ya kitaasisi na kutoa mafunzo ya pamoja miongozi mwa vyombo ndani na nje ya nchi. Pia wakati wote itahakikisha upatikanaji wa vifaa vya tahadhari, uokozi na kutoa huduma mapema kwa waathirika.

Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kutoa shukrani kwa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mkoa wa Kilimanjaro, Majeshi, TANAPA, taasisi nyingine za Serikali pamoja na zisizo za Serikali, wananchi wa vijiji vya jirani na hifadhi pamoja na wadau wote walioshiriki kikamilifu katika uzimaji wa moto.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa zoezi la utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielektroniki na kuzuka kwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna