Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI TANZANIA MHE CHARLOTTA OZAKI IKULU

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlotta Ozaki Macias alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mafungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-11-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-11-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 3-11-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlotta Ozaki Macias baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-11-2022, alipofika Ikulu kwa mazungumzo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlotta Ozaki Macias, wakati wakiagana baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-11-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor