Featured Kitaifa

SPIKA DKT.TULIA ATETA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye alipomtembelea leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye alipomtembelea leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiagana na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. kanali (Mst) Fred Mwesigye baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 3 Novemba, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor