Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

WAZIRI NDAKI ATOA TAMKO KUHUSU UTAMBUZI WA MIFUGO KWA KUTUMIA HERENI ZA KIELEKTRONIKI NCHINI

Written by Alex Sonna

Ndugu wanahabari,

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi.

Ndugu wanahabari,

Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kielekroniki na kuisajili kwenye mfumo wa utambuzi ili kurahisisha ufuatiliaji wa mifugo na mazao yake.

Aidha, tarehe 29/09/2022 Wizara ilitangaza tarehe ya ukomo kuwa 31/10/2022 na baada ya hapo Halmashauri zaidi ya 46 zimeweka hereni za utambuzi kwa mifugo zaidi ya 533,683 na kufanya idadi ya mifugo iliyotambuliwa na kusajiliwa kufikia 5,068,617 ambayo sawa na 11% ya lengo la kuweka alama za utambuzi mifugo 45,920,000.

Naomba kuwashukuru sana Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mikoa na Wilaya ambazo zimeshaanza kutekeleza zoezi la utambuzi wa mifugo. Vilevile, niwapongeze sana wafugaji ambao mifugo yao imetambuliwa na kusajiliwa kwenye mfumo wa utambuzi.

Ndugu wanahabari,

Baada ya kutangaza tarehe ya ukomo wa utambuzi wa mifugo kwa hiari, nimepigiwa simu nyingi kutoka kwa viongozi wa mikoa, wilaya na wafugaji kuomba niongeze muda.

Niwaombe Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kutumia muda huu wa miezi miwili kusimamia uwekaji wa hereni za utambuzi na kusajili mifugo iliyopo kwenye mikoa na wilaya zenu. Pia kwa wafugaji, hakikisheni kuwa ng’ombe, mbuzi, kondoo na punda wako wanawekwa hereni za utambuzi na kusajiliwa kwenye mfumo kabla ya tarehe 31/12/2022.

Ndugu wanahabari na wafugaji wote,

Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji wa Mifugo ni muhimu kwa madhumuni mbalimbali ambayo ni pamoja na:

Njia ya kurasimisha umiliki wa mifugo kwa mfugaji, Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko,
Kuimarisha koosaafu za mifugo, Kuongeza thamani ya mifugo kwenye masoko,
Kuwezesha bima na mikopo kwa wafugaji, Kuwezesha kupatikana kwa urahisi kwa mifugo iliyopotea au kuibiwa,
Ni kufanya sensa ya mifugo kwa ajili ya kuiwezesha Serikali na wadau wengine kupanga mipango ya miundombinu, malisho na huduma zingine, Ni takwa la kisheria kulingana na Sheria ya Utambuzi, Usajili na Ufuatiliaji Mifugo ya mwaka 2010 na Kanuni zake za mwaka 2011.

Ndugu wanahabari,

Hereni za utambuzi wa mifugo zina namba (digits) 12 ambazo ni: 255 zinaonesha utaifa wa mfugo, zikifuatiwa na namba za Mkoa, namba za Mamlaka za Serikali za Mitaa, zikifuatiwa na namba zinazoonesha taarifa mfugo na mfugaji.

Namba hizi hutolewa na Serikali na taarifa za eneo, mfugo na mfugaji hutunzwa kwenye barcode ambazo hupatikana kielektroniki duniani kote. Hereni hizi za kieletroniki ni mali ya Serikali, haziruhusiwi kuuzwa madukani.

Aidha, hereni hutengenezwa na kusambazwa kulingana na mahitaji ya Halmashauri husika. Bei elekezi ya hereni ni shilingi 1,750= ambayo ni gharama kwa ng’ombe na punda na shilingi 1000= kwa mbuzi na kondoo na gharama hizi hulipwa na mfugaji mwenyewe.

Ndugu wanahabari,

Wizara imekuwa ikifanya mafunzo na uhamasishaji kwa wataalam wa mifugo na wafugaji juu ya utambuzi wa mifugo na kazi hii ni endelevu. Uwekaji wa hereni unaendelea nchi nzima katika Mamlaka za Serikali za Mitaa na mashamba ya mifugo (ranches).

Hadi kufikia leo tarehe 31/10/2022, mifugo iliyowekwa hereni za utambuzi na kusajiliwa ni 5,068,617 kwa mchanganuo ufuatao:

Ng’ombe 4,239,985 sawa na asilimia 18.4 ya lengo, Punda 66,433 sawa na sawa na asilimia 16 ya lengo, Mbuzi 511,930 sawa na asilimia 3 ya lengo, Kondoo 250,269 sawa na asilimia 4 ya lengo.
Aidha, Mkoa wa Mbeya unaoongoza kwa kuweka alama za utambuzi mifugo 1,132,468, ukifuatiwa na mikoa ya Tabora 525,093, Rukwa 494,895, Kagera 287,097 na Katavi 286,568. Mikoa ambayo haijafanya vizuri kwenye utambuzi ni Singida mifugo 1,646, Tanga 3,910, Ruvuma 4,672, Njombe 5,300 na Mara 16,012.

Naomba kuwakumbusha tena viongozi wa mikoa, wilaya na wafugaji kuweka alama za utambuzi kwa mifugo na kuisajili kwenye mfumo wa utambuzi.

Ndugu wanahabari,

Kulingana na Mwongozo wa utambuzi, usajili na Ufuatiliaji wa mifugo, wa mwaka 2021, Mamlaka za Serikali za Mitaa zinaweza kufanya utambuzi kwa kutumia wataalam wao wa mifugo au zinaweza kutumia Kampuni binafsi za kutoa huduma za mifugo ambazo ziko takribani 30 nchini.

Wizara imebaini changamoto kwa baadhi ya Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanya uvishaji wa hereni kuwa chanzo cha mapato kiasi cha kuzifanya kampuni nyingi binafsi za kuvalisha hereni kushindwa kuendesha zoezi kama zinavyokuwa zimeingia mikataba na Halmashauri husika.

Niwakumbushe Wakurugenzi Watendaji kuwa hii ni huduma kwa wafugaji kama huduma nyingine kwa wananchi na mfugaji anachangia shs 1750= kwa ng’ombe na punda, na shs 1000= kwa mbuzi na kondoo.

Ndugu wanahabari,

Mwisho, suala la utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo ni muhimu kwa ustawi na maendeleo ya Sekta ya Mifugo nchini. Pia ni sharti la kisheria, hivyo kila Mamlaka za Serikali za Mitaa na wafugaji kuhakikisha mifugo yote kwenye Wilaya inawekwa hereni za utambuzi na kusajiliwa kwenye mfumo wa utambuzi wa taifa.

Aidha, hereni za kielektroniki za utambuzi ambazo zimeshatengenezwa na kuchapishwa zinatosheleza mifugo yote 45,920,000 inayotegemea kutambuliwa.

Hivyo, niziombe Idara za Mifugo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha mnachukua hereni za utambuzi na kuwafikishia wafugaji kabla ya tarehe 31/12/2022 ili kuepuka usumbufu usiokuwa wa lazima.

Vilevile, elimu na uhamasishaji wa utambuzi wa mifugo kwa wafugaji ni suala endelevu, hivyo kila mtaalam wa mifugo awajibike kuendelea kuwaelimisha wafugaji kuhusu utambuzi na usajili wa mifugo.

Asanteni kwa kunisikiliza

Imetolewa na
Mhe. Mashimba Mashauri Ndaki (MB)
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

About the author

Alex Sonna