Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA SITA WA CHAMA CHA WANASHERIA WA MABUNGE YA AFRIKA MJINI ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa 6 wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibui “B” Unguja Jijini Zanzibar

WASHIRIKI wa Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria  wa Mabunge ya Afrika wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mkutano huo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat  Al Bahr Mbweni Unguja Wilaya ya Magharibi “B” Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi  Cheti cha Usajili wa Chama Cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Rais wa Chama hicho Bw. Mussa Kombo Bakari, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Tovoti ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, baada ya kuufungua Mkutano wa Sita wa Chama  hicho uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akipiga makofi  baada ya kuizindua Tovoti ya Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Sita wa Chama hicho uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 1-11-2022, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Abdulla Suleiman na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Rais wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Afrika Bw. Mussa Kombo Bakari .(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor