Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WANANCHI KATIKA UWANJA WA LAKE TANGANYIKA WA MKOA WA KIGOMA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mkoa wa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo tarehe 18 Oktoba, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo tarehe 18 Oktoba, 2022. 

Viongozi pamoja na wananchi wa Mkoa wa Kigoma wakiwa kwenye uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara tarehe 18 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma tarehe 18 Oktoba, 2022.

About the author

mzalendoeditor