Featured Michezo

RAIS SAMIA:KONGOLE SIMBA, KILA LA KHERI

Written by mzalendoeditor

Rais Samia Suluhu Hassan kupitia akaunti zake rasmi ya mitandao ya kijamii ameandika;

“Kongole Simba
kwa ushindi wa 1-0 (ushindi wa jumla 4-1) mlioupata dhidi ya timu ya Primeiro De Agosto ya Angola na hivyo kufanikiwa kuingia hatua ya makundi ya klabu bingwa Barani Afrika. Nawatakia kila kheri katika michuano inayofuata,”

About the author

mzalendoeditor