Featured Kitaifa

RAIS SAMIA  AZINDUA KITUO CHA KUPOKEA,KUPOOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MPOMVU GEITA

Written by mzalendoeditor

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa wakati akizindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Buseresere na Katoro Mkoani Geita.

About the author

mzalendoeditor