Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la Makumbusho la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita

Previous articleRAIS DK.MWINYI AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA NCHINI OMAN
Next articleRAIS SAMIA  AZINDUA KITUO CHA KUPOKEA,KUPOOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MPOMVU GEITA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here